mayounger
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 693
- 670
Hahah 😂😂Ni mdogo ana miaka 19, kazaliwa mji unaitwa Ivanovo nchi ya Tajikistan, watu wa mtaani kwake wanasema ni kinyozi mzuri tena mpole, ila alipotea muda mrefu kwenda kupata "ilimu ya Dini". Ndio wanashangaa wanamuona anafanya mauaji ya watu Moscow.
Shida ni hiyo "Ilim"