Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Hii mikoa ya pwani pia kuna watoto wengi wametoweka. Watu wa mtaani kwake huyo dogo wa miaka 19 wameshangaa mno kumuona huyo dogo kinyozi anafanya mauaji ya watu Moscow. Na Tanzania inasemekana vijana wengi wamepotea, hawajulikani walipo mpaka sasa.Kibongo bongo tunachukulia poa sana, ila hili ni funzo hawa madogo wanaotoweka Tanga na mtwara tusichukulie poa aisee
Mungu aepushe mbali, wasijekuwa washapata "Ilim"