Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Hao jamaa ni batch ya ex-Isis fighters waliopo Ukraine. Utaalam wao wa kupanga na kutumia silaha unaonesha wana mafunzo ya kutosha.
View: https://twitter.com/MaimunkaNews/status/1772012972279230730?t=gi2GnWRBZgZ3QaQl7LnY_w&s=19
Mwengine huyo! Sijui inakuwaje amekuwa hivyo! Ameshindwa kabisa kutembea, wamemleta hivyo hivyo!
Hizo tetesi binafsi nilizisikia kwenye vyanzo tofauti vya habari.Hao jamaa ni magaidi ila wanapenda hela. Maana ISIS waliwapa na mabomu ya kujilipua ili wafe. Inaonekana hawakuyavaa au kuyatumia. Walikuwa wana njaa ya hela.
Pia kunatetesi kwenye jeshi la Ukraine kuna watu walikuwa wapiganaji wa zamani wa ISIS-K ndio inaonekana walipanga nao tukio. Ndio maana walikuwa wanataka kukimbilia Ukraine kwa washkaji wao. Maana hao jamaa 4 ni wazoefu wa kutumia silaha, je utaalam huo waliutoa wapi? Uwezo wa kupanga mauaji waliutoa wapi?
Hao ni waislamu. Majina ya kiislam ya Eastern Europe huwa yanafanana na ya Kirusi. Hao jamaa ni kutoka nchi ya Tajikistan ambayo ina waislamu wengi tu.
Sasa na hapa ndiyo tunapata jawabu kamili Isis ipo chini ya nani!New batch of ex-ISIS members transferred from Syria to Ukraine: Report
Since the start of Russia's special military operation in Ukraine, hundreds of members of Al-Qaeda and ISIS have reportedly been transferred to fight in Ukrainethecradle.co
Hao jamaa ni batch ya ex-Isis fighters waliopo Ukraine. Utaalam wao wa kupanga na kutumia silaha unaonesha wana mafunzo ya kutosha.
Hiyo Report ni ya mwaka 2022
Huo uchunguzi ukikamilika, hao jamaa watakuwa hoi bin taaban.Hizo tetesi binafsi nilizisikia kwenye vyanzo tofauti vya habari.
Ila nafikiri mpaka Alhamisi tutakuwa tumeshapata majibu halisi baada ya uchunguzi kukamilika. Ila waliyohusika kwa sasa tumbo ni joto. Warusi wanauwa kikatili sana halafu wanabaki kimya! Kuongea mtaongea wengine ila wao kama hawajui kinachoendelea.
Hizo ni biashara za watu. Wameona kuna gepu la kuradicalize watu kupitia "udhaifu" wa msahafu wakapita na hiyo fursa ili wapige hela kwenye vita.Sasa na hapa ndiyo tunapata jawabu kamili Isis ipo chini ya nani!
Na jawabu lipo wazi! Isis ipo chini ya West.
Huyu anaonekana sio mzoefu mambo kma hayo inabd uwe umejitoa, kuwa hvyo hakuna huruma ni mateso ya kikatili mpka kufa kwakoYupo hoi bin taaban, kaona angalau asinzie kidogo mahakamani. Anaitwa Muhammadsober Fayzov
View: https://x.com/DD_Geopolitics/status/1772014642534994230?s=20
Bado mdogo sana, 19 yearsHuyu anaonekana sio mzoefu mambo kma hayo inabd uwe umejitoa, kuwa hvyo hakuna huruma ni mateso ya kikatili mpka kufa kwako
Walikuwa washapewa advance, kama $2500. Walipiga mahesabu kuwa wanaweza kufanya tukio na kutoroka wakamalizie $2500 iliyobakia.Sema hao nao jau sana yani dollar 5,000/= unaenda kumshika kalio putin, wamefeli pakubwa sana
Ndo naona apo dgo la 2005 duh balaa sana
Ni mdogo ana miaka 19, kazaliwa mji unaitwa Ivanovo nchi ya Tajikistan, watu wa mtaani kwake wanasema ni kinyozi mzuri tena mpole, ila alipotea muda mrefu kwenda kupata "ilimu ya Dini". Ndio wanashangaa wanamuona anafanya mauaji ya watu Moscow.Ndo naona apo dgo la 2005 duh balaa sana
Nataman ningekua huko ningewakata kiungo kimoja kimoja na kichoma nyama zao huku Nina chumvi pembeniNi mdogo ana miaka 19, kazaliwa mji unaitwa Ivanovo nchi ya Tajikistan, watu wa mtaani kwake wanasema ni kinyozi mzuri tena mpole, ila alipotea muda mrefu kwenda kupata "ilimu ya Dini". Ndio wanashangaa wanamuona anafanya mauaji ya watu Moscow.
Shida ni hiyo "Ilim"
Kibongo bongo tunachukulia poa sana, ila hili ni funzo hawa madogo wanaotoweka Tanga na mtwara tusichukulie poa aiseeNi mdogo ana miaka 19, kazaliwa mji unaitwa Ivanovo nchi ya Tajikistan, watu wa mtaani kwake wanasema ni kinyozi mzuri tena mpole, ila alipotea muda mrefu kwenda kupata "ilimu ya Dini". Ndio wanashangaa wanamuona anafanya mauaji ya watu Moscow.
Shida ni hiyo "Ilim"