Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Hii mikoa ya pwani pia kuna watoto wengi wametoweka. Watu wa mtaani kwake huyo dogo wa miaka 19 wameshangaa mno kumuona huyo dogo kinyozi anafanya mauaji ya watu Moscow. Na Tanzania inasemekana vijana wengi wamepotea, hawajulikani walipo mpaka sasa.Kibongo bongo tunachukulia poa sana, ila hili ni funzo hawa madogo wanaotoweka Tanga na mtwara tusichukulie poa aisee
Kwa hyo hawatanyongwa ni kifungo tu
Noma sana mkuu ni Mungu tuHii mikoa ya pwani pia kuna watoto wengi wametoweka. Watu wa mtaani kwake huyo dogo wa miaka 19 wameshangaa mno kumuona huyo dogo kinyozi anafanya mauaji ya watu Moscow. Na Tanzania inasemekana vijana wengi wamepotea, hawajulikani walipo mpaka sasa.
Mungu aepushe mbali, wasijekuwa washapata "Ilim"
Ni Aina ya matunda Huku nanjilinjii 🤓Mkuu kende ndio nini..?
Hatari mnoNataman ningekua huko ningewakata kiungo kimoja kimoja na kichoma nyama zao huku Nina chumvi pembeni
Mzungu nyama nyama yake kama ya afande mkatoliki
Hatari mno. Na nahisi kuna wengine tupo nao humu JF. Wao wanatetea magaidi 24/7Noma sana mkuu ni Mungu tu
Hizo ndio sheria za urusi. Labda wataendelea kuhojiwa. Halafu ghafla utasikia waliumwa wakiwa jela na wakafa.Kwa hyo hawatanyongwa ni kifungo tu
Ila tumuombe Mungu ulinzi tu. Hii style ya ugaidi Mumbai style, Westgate style na ya juzi Moscow isitokee nchini. Kwasababu ni magaidi kuwa na Ak 47 na risasi kadhaa na kuingia kwenye hadhara. Inatisha sana. Na huwezi kujua wapi na lini wamezipanga. Nilimsikia mnusurika mmoja akisema Hospitalini alidhani haya matukio ya kigaidi yanawapataga wengine tu.Kibongo bongo tunachukulia poa sana, ila hili ni funzo hawa madogo wanaotoweka Tanga na mtwara tusichukulie poa aisee
Changamoto ya ugaidi ni kuwa umeunganishwa na dini fulani. Pia haujui watafanya tukio lini na wapi na mbinu gani?Hao wa Mtwara na pwani nao wakileta kinyoriroo watauawa kama kuku nasisitiza na wengine wanaoendekeza ugaidi kwa kigezo cha dini jeshi letu liko imara sana amani ya hii nchi ni muhimu sana na inalindwa kwa gharama kubwa na vyombo vyetu kuliko itikadi ambazo hazieleweki ukitaka kujua waulize watu wa hivyo vyombo ndo utajua Tz kwa nn tunaogopeka sana Afrika Masharik na ukanda wa Kusini mwa jangwa la Sahara
Hahaa.. mkuu hayo mambo sio ya kuchekesha ila najikuta nacheka. Manyambisi yamemfanya vibaya kiasi hajiwezi kabisa maanyuku. Hapo ndio unatamani kufa na haufi. Hawa jamaa watatamani wasitoke mahakamani maana nje ya hapo itakua ni mateso kwao. Maana hata wakipelekwa gerezani bado watafanywa vibaya na hata interrogattion itayoendelea itakua ni jehanamu tu.
View: https://twitter.com/MaimunkaNews/status/1772012972279230730?t=gi2GnWRBZgZ3QaQl7LnY_w&s=19
Mwengine huyo! Sijui inakuwaje amekuwa hivyo! Ameshindwa kabisa kutembea, wamemleta hivyo hivyo!
Mungu atulinde tu.Ila tumuombe Mungu ulinzi tu. Hii style ya ugaidi Mumbai style, Westgate style na ya juzi Moscow isitokee nchini. Kwasababu ni magaidi kuwa na Ak 47 na risasi kadhaa na kuingia kwenye hadhara. Inatisha sana. Na huwezi kujua wapi na lini wamezipanga. Nilimsikia mnusurika mmoja akisema Hospitalini alidhani haya matukio ya kigaidi yanawapataga wengine tu.
Pia Sweden nao sasa hivi wako kwenye hali ya hatari.
Huyo jamaa wamemkata mashine yake, anakojoa kwa mirijaHahaa.. mkuu hayo mambo sio ya kuchekesha ila najikuta nacheka. Manyambisi yamemfanya vibaya kiasi hajiwezi kabisa maanyuku. Hapo ndio unatamani kufa na haufi. Hawa jamaa watatamani wasitoke mahakamani maana nje ya hapo itakua ni mateso kwao. Maana hata wakipelekwa gerezani bado watafanywa vibaya na hata interrogattion itayoendelea itakua ni jehanamu tu.
Urusi hamnaga mambo ya human rightsHuyo jamaa wamemkata mashine yake, anakojoa kwa mirija
Kwa umri wake huyo hata akipona hana thamani tena na ataishi kwenye majuto makubwa.Huyo jamaa wamemkata mashine yake, anakojoa kwa mirija
Ivanovo iko Russia sio Tajikistan. Ni Mashariki ya Moscow.Ni mdogo ana miaka 19, kazaliwa mji unaitwa Ivanovo nchi ya Tajikistan, watu wa mtaani kwake wanasema ni kinyozi mzuri tena mpole, ila alipotea muda mrefu kwenda kupata "ilimu ya Dini". Ndio wanashangaa wanamuona anafanya mauaji ya watu Moscow.
Shida ni hiyo "Ilim"
Wangetandika risasi tu.no mercy
Magaidi wa Ukraine na Marekani waliokamatwa baada kufanya shambulio la uoga wanaendelea shoti za kende huku mwingine alikatwa sikio na kisu jana baada ya kukamatwa, Zoezi Hilo la upigaji shoti linasimamiwa kikamilifu na FSB ili watoe taarifa zaidi...... wakati huo huo DUMA wamerudusha hukumu ya kifo Nchinj Russia
..
⚡️Interrogation of the Moscow Crocus terrorists is being done with the help of electric shock to the balls therapy aka Russian "data recovery technology".
🚨This terrorist is about to tell the investigators things that even he didn't realise he knew.