Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Hizi picha hazifunguki
Nunua simu ya maaana dogo
Noma sana dogo anajuta
 
Sweden wana thamini uhuru wa watu kuliko jambo lingine lolote, watakuwa wa mwisho dunia hii kuminya uhuru wa raia wao kwa sababu ya wanazi wa dini au kundi lolote.
Uhuru wa kuchana na kukebehi vitabu vya imani za watu wengine? Huo uhuru ndio utakaowafikisha wanapotaka.
 
Hiyo njia ya kuteka relatives ilitumiwa na KGB mara moja tu, na walilazimika hivyo ili kuokoa mateka wake. Huwezi sema "huwa wanatumia".
Na huwa wana rekodi mbaya ya kuokoa mateka, yani Warusi wakienda kuokoa mateka ujue mateka wengi watakufa. Wanatumia nguvu nyingi sana.
 
Sweden wana thamini uhuru wa watu kuliko jambo lingine lolote, watakuwa wa mwisho dunia hii kuminya uhuru wa raia wao kwa sababu ya wanazi wa dini au kundi lolote.
Mbona sasa bunge la nchi hiyo limetunga sheria ya kuharamisha kuchomwa kwa vitabu vya dini baada ya tukio hilo?

Tofautisha uhuru na chuki.
 
Chuki dhidi ya uislam itakukaba mpaka ita kuuwa.
 
Hata wewe ukiambiwa uchague kuishi kati ya Sweden, Marekani au China, Urusi, Uarabuni utakimbilia Sweden na Marekani.
Ww jamaa unajitiaga msomi kumbe ni 0 kabisa, ww unaye ona umagharibi ni kama umungu mbona hujaenda kuishi huko Marekani na Sweden badala yake umebanana hapa unapelekwa mputa na CCM?
Huja enda sio kwa sababu huwezi kwenda au huwezi kuishi huko ,ahuendi kwa sababu huna sababu ya kukupeleka huko.

Binadamu huwa ana ishi sehemu kutokana na mahitaji husika katika maisha yake na ndio maana pia kuna raia wa hiyo Marekani na Sweden ambao wameondoka kwenye nchi zao na kwenda kuishi kwenye nchi zingine ambazo hazina huo uhuru unao usema.
 
Mwezi mtukufu wa Ramadhani unawatia nguvu kufanya haya mambo.



This article was published more than 8 years ago

An expert's point of view on a current event.

Islam Is a Religion of Violence​

Can the wave of violence sweeping the Islamic world be traced back to the religion's core teachings? An FP debate about the roots of extremism.​

By Ayaan Hirsi Ali
GettyImages-477854547_960
NOVEMBER 9, 2015, 11:01 AM
In the past few weeks, both Russia and the United States have escalated their military campaigns against the Islamic State. As the brutal jihadist group continues to wreak havoc in Syria and Iraq, Foreign Policy’s Peace Channel, a partnership with the United States Institute of Peace, asked Ayaan Hirsi Ali, author of Heretic: Why Islam Needs a Reformation Now, and United States Institute of Peace acting Vice President Manal Omar, one of the foremost voices on peace and Islam, to debate what is behind this newest breed of extremism and how can it be defeated. In the age of al Qaeda, the Islamic State, and Boko Haram, is there a link between the violence these groups perpetrate and the faith they profess? (Read Manal Omar’s piece here.)
In the 14 years since the attacks of 9/11 brought Islamic terrorism to the forefront of American and Western awareness and then-President George W. Bush launched the “Global War on Terror,” the violent strain of Islam appears to have metastasized.

With tracts of Syria and Iraq in the hands of the self-styled Islamic State, Libya and Somalia engulfed in anarchy, Yemen being torn apart by civil war, the Taliban resurging in Afghanistan, and Boko Haram terrorizing Nigeria, policymakers are farther away from eliminating the threat of violent Islamism than they were when they began the effort.


But does this violent extremism stem from Islam’s sacred texts? Or is it the product of circumstance, which has twisted and contorted Islam’s foundations?

To answer this, it’s worth first drawing the important distinction between Islam as a set of ideas and Muslims as adherents. The socioeconomic, political, and cultural circumstances of Muslims are varied across the globe, but I believe that we can distinguish three different groups of Muslims in the world today based on how they envision and practice their faith.


The first group is the most problematic — the fundamentalists who envision a regime based on sharia, Islamic religious law. They argue for an Islam largely or completely unchanged from its original seventh-century version and take it as a requirement of their faith that they impose it on everyone else. I call them “Medina Muslims,” in that they see the forcible imposition of sharia as their religious duty, following the example of the Prophet Mohammed when he was based in Medina. They exploit their fellow Muslims’ respect for sharia law as a divine code that takes precedence over civil laws. It is only after they have laid this foundation that they are able to persuade their recruits to engage in jihad.
Source : Islam Is a Religion of Violence
 
kusulubiwa kende? Ndio nini?
 
Wacha upuuzi, wakimbilie Ukrainę mpaka ambao wote unakaliwa na Urusi?

Russia wajilaumu wenyewe kupuuza walichoambiwa. Ukraine haihusiki.
 
Na CCM tunampelekea moto na Hana Cha kufanya

Mwambie hata wamarekani wengine wamekimbilia Urusi na China na wanaishi maisha yao mazuri
 
Sema hao nao jau sana yani dollar 5,000/= unaenda kumshika kalio putin, wamefeli pakubwa sana
Milioni 12 wapo wanne means kila mmoja milion 3 pesa hata mwezi utoboi inaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…