Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Umeambiwa ni raia wa Tajikistan.
Hii ni nchi ya kiislamu

Kwahiyo kama ni Tajikistan 🇹🇯 ndio wawe waislamu? Na aliewatuma una uhakika ni Muislamu?

Na hapo kuna majina mawili tu ya kiislam, wengine ni ndugu zako.
 

Kwahiyo kama ni waislamu, wafadhili wao ni akina nani? Kwanini wasiende israel, usa au uingereza na nchi zingine zinazopiga vita uislamu!
 
WANAONEWA WASIOHUSIKA ,KM WALITOKOMEA NJE YA ENEO HUSIKA NI NGUMU HAO WATU KUFIKIRIA KUELEKEA MIPAKANI AMBAPO PATAKUWA PA MOTO
 
Halafu na sisi hii 'Ilimu' tumeipa tahasusi kabisa kule A' level. Hovyo kabisa.
 
Katika mazingira hayo unachapa usingizi namna hiyo? Au walikuwa na siku kadhaa bila kulala kabla ya tukio? Halafu wanatorokaje kwa makundi kama nzige yaani
Ritz
wanashika wasiohusika
 
Today's strikes on Kiev.

50.409151,30.550034

Demolished to the center of the earth.

Kyiv. SBU Decision-making Center.

In all cities of Ukraine, inconspicuous, low-rise buildings are occupied by special services. None of the management and foreign curators are sitting in their official offices. They are dispersed in burrows. But there is nothing secret that would not become known to Russian intelligence.

t.me/vicktop55/2310…
 

Attachments

  • IMG_20240325_155526.jpg
    98.9 KB · Views: 4
Mwe mweee wamrudie Mungu wa Israel kabda mambo hayajakua mambo.

Ila nikiri uyo dogo wa miaka 19 nanyosha mikono, Uislam unaundaa wanaume chuma kweli kwelii, sema tu una makando kando mengi sana na Wivu wa Kike kike sana. Siku watakapo zinduka Na wakatuliza mipododo yao Dunia itafaidi sana matunda yao iwe kwenye tiba, kazi za sanaa, na uhandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…