Magaidi wa shambulio la Moscow wanaendelea kusulibiwa

Hahah 😂😂
 
Tukio watunge Russia halafu onyo la kabla atoe USA!! hii imekaa vp hii ...
 
Kapigwa ngumi za koo
 
Nasema watapitia mateso makali mno ambayo watatamani wafe lakini hawatakifa. KGB ambayo Sasa ni FSB inajulikana duniani kote Kwa kutoa mateso makali yasiyostahimilika na mwisho wa siku watasema Kila kitu maana dozi ya mateso itaongezwa Kila siku
Mkuu wanafinywa alafu unawatibu wawe safi alafu unaanza upya
Mara tano tu watasema mpaka mipango ya 2050
 
Huo uchunguzi ukikamilika, hao jamaa watakuwa hoi bin taaban.
Wanapumzishwa, wanatibiwa, wanakula vizuri, kibano kinaendelea hiyo ndio ratiba yao hadi pale watakapo kufa wenyewe haijalishi itachukua miaka mingapi. Watataja hadi jina la utoto la shetani aliyewatuma 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wapumbavu hawa walidhani wenzao wanastahili kifo ila sio wao, wangekuwa gaidi kweli wangejilipua tu waungane nao.
 
Chuki ikizidi unakuwa kama chizi mimi nimeziona hzo video nyingi sn hakuna video nimesikia hayo maneno ndio maana pope kawaambia muolewe na wanaume wenzenu atawabaliki alishawaona akili hamna
Hayo mauaji ya Russia yana tofauti gani na yale mauaji ya kigaidi ya Hamas Oct 7?!
 
Bado warusi wanaendelea na Msako. Wameenda kukamata wazazi, ndugu na marafiki wa waliofanya tukio la mauaji. Huko huko mtaani na kijijini kwao huko Tajikistan.

 
Interesting.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…