Magaidi wachinja maskini wanavijiji 38 DRC

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
yaani mwendo wa kuchinja tu, tena wanachinja maskini walalahoi wasiokuwa na mbele wala nyuma, huwa najiuliza siku mkija kugundua huyo "mungu" wenu sie na kwamba muda wote mumeua watu ili kumkosha mungu asiye, mtaficha wapi aibu.
_________

Suspected Islamist rebels killed at least 38 people in an overnight attack on villages in eastern Democratic Republic of Congo, two district officials and a civil society leader said on Saturday.

Local civil society leader Justin Kavalami blamed members of the Allied Democratic Forces (ADF) for the attack. The ADF, alleged to be behind another village assault that killed at least 16 people earlier this week, originates from neighbouring Uganda.

Now based in eastern Congo, it has pledged allegiance to Islamic State and mounts frequent attacks, further destabilising a region where many militant groups are active.

Armed men used guns and machetes to attack residents of villages in Beni territory, in North Kivu province, overnight on Friday, local official Fabien Kakule told Reuters. District official Leon Kakule Siviwe said the death toll stood at 38 and said the recent surge in violence was due to the attackers taking advantage of a low security presence.

Haya Sasa kumekucha, yaani M23 wapo huko na makundi kibao na Sasa wameanza na Hawa chinja chinja. World is not safe place to live for now on.
 
kuna jambo haliko sawa katika hizi taarifa, kamwe hayo mambo hayawezi fanywa na mtu anayehudhuria ibada mara tano kwa siku..... Kamwe hao si waislamu.
 
Waislamu unganeni na kupaza sauti kukemea dini yenu kuchafuliwa na wanasiasa na waislamu wenzenu wenye njaa

Wengi wanaotekeleza haya wanamezeshwa Aya zilizopo kwenye kuran na kunifanyia kazi ilihali na wengi wao hawakuwa na msingi mzuri wa dini yenu, wanapofika ukubwani huchotwa akili ba kupewa hela.

Sina shaka wanaofanya hivyo ni zaidi ya 90% kuwa ni waislamu ila naamini wanaowatumikia sio waislamu kwahiyo mwisho wa siku waislamu hamuwezi kukwepa hii lawama na hatia

Pazeni sauti kupinga ugaidi kwa nguvu zote kama mnavyopaza sauti kuwakashifu wakristu
 
Hao wanatimiza maagizo haya ya kishetani yaliyomo kwenye hiyo dini

Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Waislamu unganeni na kupaza sauti kukemea dini yenu kuchafuliwa na wanasiasa na waislamu wenzenu wenye njaa...

Hao unawaambia wakemee watakua wanakemea kurani yenyewe maana ndio inaagiza hayo yafanyike

Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 
Waislamu unganeni na kupaza sauti kukemea dini yenu kuchafuliwa na wanasiasa na waislamu wenzenu wenye njaa

Wengi wanaotekeleza haya wanamezeshwa Aya zilizopo kwenye kuran na kunifanyia kazi ilihali na wengi wao hawakuwa na msingi mzuri wa dini yenu, wanapofika ukubwani huchotwa akili ba kupewa hela.

Sina shaka wanaofanya hivyo ni zaidi ya 90% kuwa ni waislamu ila naamini wanaowatumikia sio waislamu kwahiyo mwisho wa siku waislamu hamuwezi kukwepa hii lawama na hatia

Pazeni sauti kupinga ugaidi kwa nguvu zote kama mnavyopaza sauti kuwakashifu wakristu
Unapoteza muda taarifa kama hizi waislamu wanazifurahia refer lile tukio la October 7th kule Israel.
 
Waislamu unganeni na kupaza sauti kukemea dini yenu kuchafuliwa na wanasiasa na waislamu wenzenu wenye njaa

Wengi wanaotekeleza haya wanamezeshwa Aya zilizopo kwenye kuran na kunifanyia kazi ilihali na wengi wao hawakuwa na msingi mzuri wa dini yenu, wanapofika ukubwani huchotwa akili ba kupewa hela.

Sina shaka wanaofanya hivyo ni zaidi ya 90% kuwa ni waislamu ila naamini wanaowatumikia sio waislamu kwahiyo mwisho wa siku waislamu hamuwezi kukwepa hii lawama na hatia

Pazeni sauti kupinga ugaidi kwa nguvu zote kama mnavyopaza sauti kuwakashifu wakristu
Acha uzushi... kila ubaya Mtume wao alifanya na hayo uyasikiayo ni Sunna mtume ndie aliagiza.. so hao jamaa ni wafuasi wa uislam haswa. Na atakae pinga ni kafir hii ndio uislam original. Uislam gautetewi bila Aya Bali unafuata Aya.. so shut up
 
Back
Top Bottom