Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Habari za hivi punde no kwamba,

Shirika la habar la Serikali ya urusi RUSSIA TODAY (RT) limeripoti kwamba magaid hao wamekamtwa mkoani BRYANSKI walipokua katika juhudi za kutoroka kupitia mpaka wa Ukraine na wamebainika kua na mawasiliano na wenzao walioko Ukraine.

Pia ripoti kutoka shirika la intelijensia la urusi imesema kwamba magaid hao wanawashikiria na sasa wanasafirishwa kurudishwa moscow.

Source: Russia today (Rt)

Screenshot_20240323-121030.png
 
Sinema tu hapo,
ISIS wameshakiri ni wao.
 
Ukraine walikua mapema sana kukataa
 
Ugaidi hautabiriki popote pale, unakuta mtu anailaumu Israel ilikuaje ikavamiwe vile ghafla. Hizi ishu ni kutotamani ukutane nazo japo nchi kama US na UK huko ni hatari zaidi, wakikunusa tu una vichembechembe vya ugaidi unafyekwa mazima bila huruma ya aina yoyote
 
Back
Top Bottom