Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Dunia ni sehemu salama kama pasingekuwa na mataifa kama USA , kutengeneza silaha za kuleta maafa ni ujinga mkubwa kabisa kutokea duniani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ISIS, pia inajulikana kama Jimbo la Kiislamu la Iraq na Syria, ilianzishwa mnamo 1999.Acha porojo, September 11 2001 ISIS hata hawakuwepo.
Kwa nchi Kama ile ufanye ugaidi halafu utegemee kutoroka ni ngumu Sana.Labla walikuwa wanahitajika eneo lingine, ila ndo hvy wamenaswa
ISIS walikuwepo Sept 11? Dogo haya mambo uwe unauliza we Kafir. Mambo hujui unaandika uongo.Isis Wana historia ya kukiri mashambulizi hata ambayo hata hawajahusika, rejea shambuliz la kigaidi turkey na Lile la Sept 11 kule USA
Sasa ww ndio hauko sahihi mkuu, hii dunia pasingekalika Kama USA asingekuwepoDunia ni sehemu salama kama pasingekuwa na mataifa kama USA , kutengeneza silaha za kuleta maafa ni ujinga mkubwa kabisa kutokea duniani.
Kafir au siyo 😂ISIS walikuwepo Sept 11? Dogo haya mambo uwe unauliza we Kafir. Mambo hujui unaandika uongo.
Sahau kuambiwa ukweli kutoka kwa Ruzzia, Kremlini watatengeneza propoganda inayowapa picha nzuri wao.Ukweli utajulikana tu ..Hao jamaa ngoja wabanwe .
Angalia kila kona ana majeshi anaacha kukaa kwake,USA kuna homeless kibao ila anatoa mpaka trillion kuchochea vita nchi nyingine.Sasa ww ndio hauko sahihi mkuu, hii dunia pasingekalika Kama USA asingekuwepo
Ngoja tuone ,ila kuingiliwa mpaka kweny mji mkuu ni hatar .Sahau kuambiwa ukweli kutoka kwa Ruzzia, Kremlini watatengeneza propoganda inayowapa picha nzuri wao.
Ni kweli kabisa mkuu, ila n bora uwepo wake kuliko kama asingekuwepoAngalia kila kona ana majeshi anaacha kukaa kwake,USA kuna homeless kibao ila anatoa mpaka trillion kuchochea vita nchi nyingine.
USA kasababisha vita kila kona ya dunia, msambazaji mkubwa wa silaha vita ya dunia.
Kule Hiroshima na kafanya ule ujinga?
Ingekuwa rahisi hivyo ingeshatokea upendavyoZelensky sio wa kubembelezwa yule.Aliwe kichwa
Nakuambia kuna mambo jamaa analeta tabu kweny dunia bila ya kujali.Ni kweli kabisa mkuu, ila n bora uwepo wake kuliko kama asingekuwepo
Siyo kila kitendo cha kujitoa mhanga ni ugaidi. No.Ugaid ukiingia kwako Ni hatari,
Mtu anaamka kavurugwa anajitoa mhanga mbele ya halaiki, Apo unadhan utamlaumu nani
Ndo maana nchi zinaogopa sn Watu wenye misimamo mikali maana hawatabiriki
US ana haribu sana stability ya dunia hasa middle East.Kule alisema Sadam ana nuclear ,kumbe hana kaangamiza raia kibao,inchi haitawaliki magaidi kule Iraq wanajiachia, Tony Blair anajuitia hii mistake mpaka kesho. Ukija Gazza,mataifa yote (98+) yanataka vita isitishwe yy na UK hawataki tu kwa ajili ya maslahi yao.Kwenye baraza la Ulinzi la UN kura zishapigwa mara tatu,US kakataa mpaka Malaysia wanataka kudiscuss hii kura ya veto na kutaka itizame upya kwani kuna mataifa wanaitumia vibaya.Ni kweli kabisa mkuu, ila n bora uwepo wake kuliko kama asingekuwepo
Hivi unajua hata ISIL imeanzishwa liniIsis Wana historia ya kukiri mashambulizi hata ambayo hata hawajahusika, rejea shambuliz la kigaidi turkey na Lile la Sept 11 kule USA
Unapambana sana kuwachomoa ISIS kwenye hicho kisa ili propaganda Putin zipate nafasi, bahati mbaya kwako ISIS wenyewe ndio wamekiri kufanya hilo tukio Moscow.Gaidi wa kwanza uyo Apo, keshawekwa mtu Kati, kafinywa kakiri kuhusika.
Wale mliokua mnasema isis wanahusika njoo mtwambie uyu nae ni ISIS au nani