Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Magaidi walioshambulia Urusi tayari washakamtwa

Ugaid ukiingia kwako Ni hatari,

Mtu anaamka kavurugwa anajitoa mhanga mbele ya halaiki, Apo unadhan utamlaumu nani

Ndo maana nchi zinaogopa sn Watu wenye misimamo mikali maana hawatabiriki
Ugaidi hautabiriki popote pale, unakuta mtu anailaumu Israel ilikuaje ikavamiwe vile ghafla. Hizi ishu ni kutotamani ukutane nazo japo nchi kama US na UK huko ni hatari zaidi, wakikunusa tu una vichembechembe vya ugaidi unafyekwa mazima bila huruma ya aina yoyote
 
Ugaidi hautabiriki popote pale, unakuta mtu anailaumu Israel ilikuaje ikavamiwe vile ghafla. Hizi ishu ni kutotamani ukutane nazo japo nchi kama US na UK huko ni hatari zaidi, wakikunusa tu una vichembechembe vya ugaidi unafyekwa mazima bila huruma ya aina yoyote
N kweli, USA anapigika mara nyingi kwa surprise afu wanakuja kumshangaa Israel.
 
Mkuu wa FSB kamweleza putin kwamba mpaka Sasa jumla ya magaid 11 wamehusika na wanne kati yao ndo walihusika direct kushambulia Watu pale kwny concert usiku wa Jana.
 

Attachments

  • Screenshot_20240323-123352.png
    Screenshot_20240323-123352.png
    137.6 KB · Views: 2
IS mwanzoni kilikuwa ni kikundi kilichokuwa kikitumika na US ili kumuondoa Assad Syria kabla kutangazwa kuwa kikundi cha kigaidi.Urusi akaingilia na kumbakisha Assad madarakani. IS juzi wameishambulia Iran ambaye ana uadui mkubwa na US,vilevile jana ameishambulia Russia ambaye US ana uhasama nae.Kwa mujibu wa Al Jazeera pamoja na vikwazo vyote vya US,Russia bado uchumi wake imara na ndio maana juzi US akaongeza vikwazo vingine mia tano kwa Russia.So inaonekana US hapendezwi na ukuaji wa kiuchumi wa Russia pamoja na vikwazo vyote ila Russia bado ipo imara na ukizingatia juzi Putin kashinda (80+) kwenye uchaguzi wa kuiongoza tena Russia kwa miaka sita mengine ,kwa nchi za EU na US kwao umekuwa mwiba mkali sana.

Hili sizani kama Russia atalitizama kijujuu,bali ataenda deep na akijua behind the scenes US aliwa saidia IS basi kisasi chake kitakuwa kikubwa,haijalishi kwamba US walikwisha wataharifu Russia au laah.

Ukraine mwezi huu kwake umekuwa mgumu kwani kishapoteza zaidi ya askari 2500,so may be inawezekana ikawa Ukraine, EU na US wapo nyuma ya hili, kwani vita ya Ukraine kuna Mercenaries wengi kutoka nchi ya EU na US wamepukutishwa na Russia tokea mwaka huu uanze wameingia kwenye phase nyingine toka operation ya kijeshi mpaka vita kamili na ndio maana mashambulizi ya sasa hivi kwa Ukraine ni mazito mno.

Nina uhakika Russia hatolitizama hili kwa mlengo wa kidini ataangalia kona zote na wanao uhusika atadeal nao haijalishi ni wataifa gani.
 
IS mwanzoni kilikuwa ni kikundi kilichokuwa kikitumika na US ili kumuondoa Assad kabla kutangazwa kikundi cha kigaidi.Urusi akaingilia na kumbakisha Assad madarakani. IS juzi wameishambulia Iran ambaye ana uadui mkubwa na US,vilevile jana ameishambulia Russia ambaye US ana uhasama nae.Kwa mujibu wa Al Jazeera pamoja na vikwazo vyote US bado uchumi wake imara na ndio maana juzi akaongeza vikwazo vingine mia tano na US.

Hii sizani kama Russia ataitizama kijujuu,bali ataenda deep na akijua behind the scenes US aliwa saidia IS basi kisasi chake kitakuwa kikubwa,haijalishi kwamba US walikwisha wataharifu Russia au laah. Ukraine mwezi huu kwake umekuwa mgumu kwani kishapoteza zaidi ya askari 2500,so be may inawezekana ikawa Ukraine, EU na US wapo nyuma ya hili, kwani vita ya Ukraine kuna Mercenaries wengi kutoka nchi ya EU na US wamepukutishwa.

Nina uhakika Russia hatolitizama hili kwa mlengo wa kidini ataangalia kona zote na wanao uhusika atadeal nao haijalishi ni wataifa gani.
Ukweli utajulikana tu ..Hao jamaa ngoja wabanwe .
 
Back
Top Bottom