Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari hili analoMaombi yangu hili balaa wamwangushie Zele boy...😂😂😂
Wao kina nani Russia au WestKuna sehemu Russia wamesema Navalny kauliwa na wao?
NdiyoWewe uliniambia kila jambo baya linalo ikuta Russia umesema na itaja US?
Kwa sababu mimi nimetaja, sio wewe uliyetaja. Nimesema Putin's Russia imemuua Navalny na ndicho kilichotokea. Wewe kwa kawaida yako utatafuna namna hapo uitaje West. Yani Russia ikitokea mapinduzi, itatajwa West kabla ya Mrusi yeyote kutajwaSasa why wewe umeitaja Russia kwenye swala la Navalny?Kitu gani kilicho kusukuma kusema hivyo?
Hiyo avatar uliyoweka mkuu ni kwamba una passport pia??😂😂😂Russia taifa teule
US na UK hawa wanaounda makundi ya kigaidi na kuyafadhiloi kila siku au US na UK za kule Peponi???Ugaidi hautabiriki popote pale, unakuta mtu anailaumu Israel ilikuaje ikavamiwe vile ghafla. Hizi ishu ni kutotamani ukutane nazo japo nchi kama US na UK huko ni hatari zaidi, wakikunusa tu una vichembechembe vya ugaidi unafyekwa mazima bila huruma ya aina yoyot
Wewe umetaja kuna sehemu Russia wamesema?Wao kina nani Russia au West
Ndiyo
Kwa sababu mimi nimetaja, sio wewe uliyetaja. Nimesema Putin's Russia imemuua Navalny na ndicho kilichotokea. Wewe kwa kawaida yako utatafuna namna hapo uitaje West. Yani Russia ikitokea mapinduzi, itatajwa West kabla ya Mrusi yeyote kutajwa
Nimesoma taarifa eti Isis wanadai "walipanga kushambulia mkusanyiko wa wakristo"
Jamani waislamu wapo kweny Ramadan hawa wanatokea wapi😅😅😅...Ishu za kupangwa hizi nahisi dunia itajua ukweli wote wale jamaa sio waislamu
Hawwa jamaa wanaweza hata wakatoa taarifa za uongo kujifuta aibu. Kwani hakuna anayeweza kuthibitisha taarifa hizo.Habari za hivi punde no kwamba,
Shirika la habar la Serikali ya urusi RUSSIA TODAY (RT) limeripoti kwamba magaid hao wamekamtwa mkoani BRYANSKI walipokua katika juhudi za kutoroka kupitia mpaka wa Ukraine na wamebainika kua na mawasiliano na wenzao walioko Ukraine.
Pia ripoti kutoka shirika la intelijensia la urusi imesema kwamba magaid hao wanawashikiria na sasa wanasafirishwa kurudishwa moscow.
Source: Russia today (Rt)
Hawa mbona ni wazungu tofauti na picha za mwanzo tulizo oneshwa?Gaidi wa kwanza uyo Apo, keshawekwa mtu Kati, kafinywa kakiri kuhusika.
Wale mliokua mnasema isis wanahusika njoo mtwambie uyu nae ni ISIS au nani
Russia waongoKwanza tangu lini isis wakafanya shambulio na kutoroka, wakiogopa kuuwawa?😃
Sasa mbona walikuwa wana kimbilia Ukraine?Urusi walipewa tahadhari na West, Putin akazipuuza na akasema hizo ni taarifa za kuzua taharuki tu kwa Urusi(hadi video iko mitandaoni), sasa unafikiri atakubali ni ISIS??
Watakua kwenye usiku wa mateso makubwa sana. utatamani ni heri kumuomba mtoa roho aje akuchukue lakini haji. msala!Sipati picha watakavofinywa😁
Taifa kubwa linappteza raia wake kizembe hivyo, taifa kubwa linazuia tukio lisitokeeUrusi taifa kubwa
Yaani Commando aingie Moscow akijua ulinzi wake ulivyo afanikiwe kutoroka eneo la Tukio mpaka asubiri kukamatwa na FSB? Muda wote huo akijua kwamba hao FSB watamuokoa au??Gaidi mmoja wapo aliekamtwa huyu hapa, USHAURI KWAKE TAFADHALI wakuu😊🙏
Taleban hapanaSept 11 wapikuwa ni Al Qaeda na Taleban