Magaidi wamtia kiberiti kasisi wa kanisa la katoliki kule Nigeria

Weye kainame ukaswekwe.
 
Kwahiyo msikitini wanaanguka kifudifudi?
Hiyo kuanguka kifudifudi wamehariri siku hizi,ndiyo maana kwa yasu hapo nimekuwekea kiingereza chake ambacho kwa tafsiri ya kiswahili ni kusujudu,miaka ya tisini maneno Kama kusujudu,swaumu,idi yalikuwemo kwenye biblia,siku hizi imehaririwa na kuondoa hayo maneno,wameacha kwa Musa tu hapo sababu wamehisi Haina athari
 
Slimuni ili muwe na amani unless watoto wenu watakabaki mayatima.
Amani kama inavyopatikana kwa wingi Somalia na Afghanistan, ambako watu wake wote wameslimu.

Yaani Waislamu kama ndio mngapata Nguvu Duniani na uwezo wa kumsilimisha kila mtu nadhani muda huu kusingekuwa na kiumbe anayeitwa Binadamu hapa Duniani.

Mnge chinjana wote mkaisha.

Mwenye dhambi angekuwa anamchinja mwenye dhambi mwenzaje hadi muishe.

Ila hadi dunia inafika mwisho Uislamu utaendelea kuwa dini dhaifu. Dini ya kulia lia na kujilipua lipua MABOMU kwa hadaa ya Bikra 72 na Mito ya Pombe KONYAGI.
 
Huu unabii ulishatimia miaka mingi sana, hata Yerusalemu ukachomwa moto na watu wakakimbilia milimani. Kasoke Historia ya Kanisa vizuri mkuu, utaona mambo mengi yalishatimiaga.
 
Vya kuambiwa changanya na zako,baba ake mdogo Mtume Muhammad ndie aliyemlea mpaka anakuwa Mtume,alimpa ushirikiano wote katk masuala ya dini.

Huyo baba ake mdogo mpaka anaingia kaburini hakuwahi kusilimu na kuwa mwislamu.

Kwa nini hakuchinjwa.

Hakumfanyia uadui wowote
 
Vya kuambiwa changanya na zako,baba ake mdogo Mtume Muhammad ndie aliyemlea mpaka anakuwa Mtume,alimpa ushirikiano wote katk masuala ya dini.

Huyo baba ake mdogo mpaka anaingia kaburini hakuwahi kusilimu na kuwa mwislamu.

Kwa nini hakuchinjwa.
Huyo baba mdogo alikufa kabla Aya ya amri haijaandikwa.
 
Hapa na doubt inakuwaje Mungu aruhusu watu wake wafe kwa namna hii lakini. Why Mungu asijitokeze ama afanye makubwa ili awaokoe na hichi kifo Mana hawakustahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…