Magaidi wasihusishwe na Uislamu


Kuna tofauti kubwa sana hapo. Muislam anavyozidi kusoma kila kitabu chao ndio chuki dhidi ya dini nyingine inaongezeka na mkristo anavyozidi kusoma biblia takatifu upendo na amani ya kristo inakua moyoni mwake.

Tofauti kubwa sana.
 
alshabaab wa somalia wanatafuta haki ya kusimika utawala wa kiislam,wako sawa kabisa kwa mujibu wa imani yao.

nchi ya somali ina waislam 99.9% ila haifati misingi ya tawala za kiislam,ndicho ugomvi wao.

Na ADF kule kongo wanataka kusimika utawala gani wakati waislam ni asilimia ndogo?!
 
Na ADF kule kongo wanataka kusimika utawala gani wakati waislam ni asilimia ndogo?!

ADF wana mission yao nyingine,wala hawajajinasibisha na dini wala imani yoyote.

na kama wataamua kujinasibisha na ukristo tutawakataa live live.
 
Kundi la Sijui Ant Barack na lenyewe ni laislam?
 
KIBITI TANZANIA.
nitaeleza kwa uchache sana.
Mafunzo ya vijana na wale walokuwa wanafanya yale walokuwa wanafanya yalikuwa yanaendeshwa kwenye misikiti. Na mafunzo makubwa yalikuwa mashwati(mapigano)

SIfa za wale walohudhuria mafunzo na wakufunzi

-walivaa suruali fupi
-Walifuga ndevu nyingi
-walijua dini ya allah/Mungu
-walikuwa na ujasiri
-walikuwa tayar kufa kwa yote

Pia kulikuwa na vugu vugu la misikiti mingi kuendesha mafunzo ya mapigano
Ila baada ya ile issue ya kibit kuwa hot wale walokuwa wanafanya hivyo najua wanajua kwanini waliacha.

JOSEPH KONY(LRA)

Hili ni kundi lililoanzishwa pale uganda miaka ya nyuma na Rafiki yangu Joseph na aliishi msituni kama nyan na adhma yake kubwa alikuwa anataka serikal ya kidini ya Mungu Baba na Mwana.
Ila bahati mbaya alikosa msaada kwa watu alowategemea maana mtizamo wao katika kupenya ni tofauti.
KONY akapotea kimya kimyaaa kama panya alofia shimon na kuacha harufu kwa mbali ambako ilikuwa rahisi sana kudhibiti harufu yake kwa kufukia shimo hilo.
 
Shida sio uislam mkuu,shida ni Waalabu.
Maana ngozi ya mwalabu na akili zake kiukweli inaletaga shida kila mahali.
Kingine ni Lugha ya kialabu.Dini ya kiislam wangejaribu kueneza imani angalau kwa Lugha tofauti tofauti katika Nchi nyingi Dini hiyo ndo ingeweza kutenganishwa na Ugaidi.
Lugha ya kialabu mpaka Leo hii,bado haifundishwi kwa Lugha tofauti.
Tatizo liko hapo.
Lugha.
So,kuitenganisha ni ngumu kimuundo.wamechelewa Sana.
 
Sasa kazi ya mungu wenu Allah ni nini?
Kastarehe tu huko alipo huku akisubiri mumpiganie? Tena huku mkimsifu eti mungu ni mkubwa! Ukubwa wake ni upi sasa?
Au ni kipofu haoni mnavyodhurumiwa?



Wala usidhani Mwenyezi Mungu ameghafilika na wanayo yafanya madhaalimu. Hakika Yeye anawaakhirisha tu mpaka siku yatapo kodoka macho yao

(Qur-an 14:42)
 


Quran isihusishwe na waislam?
 

Attachments

  • IMG-20231020-WA0007.jpg
    62.5 KB · Views: 5
Sawa, kwahiyo kwa msomaji wa kawaida unamwambiaje?kwa lugha nyepesi.
Uislamu ni ugaidi. Huwezi kuvitenga
 
Hamas na Hezbollah siyo magaidi ni watu wanaopigania Haki yao kwenye ardhi yao.

haki ikiishahusisha kumwaga damu inakuwa batili.unajua kwanini??

angalia,israel wanavyojibu kwa kuua tena ndugu zao wenyewe ambao walipaswa haki hiyo waipate wakiwa pamoja bila mmoja wao kufa.

inakuwa ni sawa na kugombea mpaka wa shamba la urithi kwa familia na kigogo,kigogo anaua mmoja mmoja na haonekani kuishiwa nguvu,nyinyi mnaendelea kupambana,mwisho mtaisha wote ajipe umiliki 100%
 
alshabaab wa somalia wanatafuta haki ya kusimika utawala wa kiislam,wako sawa kabisa kwa mujibu wa imani yao.

nchi ya somali ina waislam 99.9% ila haifati misingi ya tawala za kiislam,ndicho ugomvi wao.
Sasa kwanini harakati ziendane na mauaji?? Wanashindwa kufanya harakati za staha mpaka waue. Dini hizi mimi ndio nimeamua niishi kimpango wangu.
 
masikitiko makubwa sana, sasa sisi huku Africs tunaambiwa ni dini ya Amani, inakuwaje hapo?
 
Sasa kwanini harakati ziendane na mauaji?? Wanashindwa kufanya harakati za staha mpaka waue. Dini hizi mimi ndio nimeamua niishi kimpango wangu.
Hata mimi nashangaa, eti unaua kupambania dini iwe iliyoletwa na Jahazi au mrumi.
Kumbuka hao wote ni wakoloni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…