Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
shida kubwa iliyopo kwa kwa waislam wengi ni kuongozwa Zaid na emotions za kidini
uwezo mdogo wa
a) reasoning
b) analysing
c) Evaluation logic za kiDunia na mambo ya Imani (spiritual)
siwezi kushanga muislam akilishwa vifungu kila siku kuhusu Imani yake kila siku dini ikamuingia sawasawa utaona nyendo zake zinavyo change chuki dhidi ya dini nyingine inazidi kuwaka moyoni mwake huyu mtu kuvaa bomb haoni shida anakufa shujaa (Shaheed) na ataiona pepo akipewa na zawadi ya mabikra na mito inayotililika mvinyo
ndio maana unaona mfano mzuri hii vita ya Palestine-Israel
Hamas walivyo invade Israel na kuua wayahudi ilikua sikukuu huku wakiimba Allah akubar
Kuna tofauti kubwa sana hapo. Muislam anavyozidi kusoma kila kitabu chao ndio chuki dhidi ya dini nyingine inaongezeka na mkristo anavyozidi kusoma biblia takatifu upendo na amani ya kristo inakua moyoni mwake.
Tofauti kubwa sana.