Magaidi wasihusishwe na Uislamu

Magaidi wasihusishwe na Uislamu

Kwahiyo , ukiacha hamas ndugu zako, MAGAIDI wengine duniani ni wapi unao wafahamu?
Ndugu zako mazayuni maadui wa Allah na maadui wa Mitume. Au kwa sababu bwana zako Marekani haiwatambui kama magaidi? Unataka wale wanaotambuliwa na bwana zako?
 
Waislamu gani hao wanaejiweka makundi maalumu?

Unajua nini kuhusu Jihad ndugu? kwa ninavyoona hapa akipigana mzungu huitwa ni vita ila akipigana muislamu huitwa jihad=ugaidi!

Hao unaowaita magaidi wa kiislamu wametengenezwa na nani na mbona huu ugaidi uwe against westerners tu na washirika wake?. Tambua kitu kimoja, hata Mandela naye aliitwa gaidi na wazungu wakati wa struggle for independence! leo hii haohao wanamuita shujaa, do u know why? ... hakulipa kisasi kwa wazungu then wazungu ndo wakaamua kumfanya kiigizo kwa wengine. They will oppress and control everything in your country, when u fight back they will call you a terrorist, when u win the struggle and decide to let the bygones be bygones, they will call u a hero.

Ugaidi wa Alqaida leo umeisha? si ni hao hao USA wamerudisha mamlaka ya Afghanistan kwa Alqaida saivi after 20+ years of occupancy on their country? ... wanasema 'USA does not negotiate with terrorists', mbona wamekabidhi nchi kwa hao waliokuwa wanawaita magaidi?

Jielimishe ndugu, acha kupumbazwa na wazungu!!!
Wewe wacha kuzungumza in simplistic terms. Mafundisho ya Kiislam usiyaone kwa nje tu, ni hatari. Na wanaanza na watoto Toka wakiwa wadogo. Halafu wakiwa in minority kazi yao kulialia victims; angalia kule Europe na Marekani kwa sasa kinachoendelea. Wewe unafikiri ni kwa bahati mbaya!!?? Muslim Brotherhood wakisaidiwa na siasa za kishoshalisti za vyama vya Democrat (USA) na Labour UK wame brainwash vijana. Ukiwasikiliza maulama wao wanajitapa kuwa they are about to conquer Europe & USA

View: https://twitter.com/LizaRosen0000/status/1718605978357088270?t=Jc3NsgkrDCly8sM4jS9ngA&s=19
 
Acha kuwa mtumwa wa fikra wewe! wapi umeona waislamu wanapigana kama si katika ardhi yao dhidi ya dhulma wanayofanyiwa au occasionally katika ardhi ya maadui zao kwa nia ya kulipa kisasi?

Mbona hatujawahi kuona waarabu wanajilipua China?
 
Tanzania tulivyolipuliwa na WAISLAMU mwaka 1998 , sisi ni washirika wa nanni?
Huna haya wala hujui ndugu zetu wamefia pale ubalozi wa Marekani? hujui wengine wamekuw vilema wa maisha?
Hao Westen na marekani lini waliamka wakaenda kumshambulia mtu?
Acha upuuzi unaona kabisa wameua westgate Nairobi huku wakiimba alah akbar lakini huna hata chembe ya huruma unataka kutetea ufirauni?
1998 yes Tanzania na Kenya tuliathirika na matendo ya kigaidi, lakini bado usijitoe akili sisi tumeathirika kwasabau ya tofauti za USA na hao waarabu! mabomu hayakupigwa kariakoo wala manzese yalipigwa kwenye balozi za Marekani, hii inaashiria wazi mwenye kufanya ugaidi huu alikuwa na tatizo na USA na sio Tanzania.

Sisi tuliathirika kwa unyonge wetu coz probably tulikuwa ndo easy target ya magaidi kuwafikia USA. Mungu atuepushe kushuhudia tena matendo kama hayo katika ardhi yetu.

Unapohusianisha matendo haya na Uislamu kwakuwa tu mwenye kujilipua alisema Allahu Akbar unakuwa na akili ndogo sana! kama ni hivyo basi Ukristo ndo ugaidi mkubwa zaidi duniani, sio wao waliotekeleza vita ya msabala iliyoua mamilioni ya watu duniani? ushawahi kusikia muislamu leo hii anauita Ukristo ugaidi based on this?
 
Acha kuwa mtumwa wa fikra wewe! wapi umeona waislamu wanapigana kama si katika ardhi yao dhidi ya dhulma wanayofanyiwa au occasionally katika ardhi ya maadui zao kwa nia ya kulipa kisasi?

Mbona hatujawahi kuona waarabu wanajilipua China?
Haujui unachoongea. Huko China kama si nguvu kubwa inayotimiwa na Serikali ya Kikomunisti kungekuwa kunawaka moto. Ila Chinese Government ni wababe wenu na hamna nchi yeyote ya kiislam inaleta fyoko. Unawajua Urghur Muslims wewe?
Ona hii video

View: https://youtu.be/RpLMShuRMnU?si=UExMiBfWaUpqwH5z
 
Mchina ni mshenzi kuliko mtu yeyote, anakukamata anakunyongea ndani ya koti la suti, unazikwa na jiji na kaburi halitokaaa kuonekana.
 
Wewe wacha kuzungumza in simplistic terms. Mafundisho ya Kiislam usiyaone kwa nje tu, ni hatari. Na wanaanza na watoto Toka wakiwa wadogo. Halafu wakiwa in minority kazi yao kulialia victims; angalia kule Europe na Marekani kwa sasa kinachoendelea. Wewe unafikiri ni kwa bahati mbaya!!?? Muslim Brotherhood wakisaidiwa na siasa za kishoshalisti za vyama vya Democrat (USA) na Labour UK wame brainwash vijana. Ukiwasikiliza maulama wao wanajitapa kuwa they are about to conquer Europe & USA

View: https://twitter.com/LizaRosen0000/status/1718605978357088270?t=Jc3NsgkrDCly8sM4jS9ngA&s=19

hili gaidi linaota ndoto za mchana kweupe. na huyu ni Top Hamas leader Ahmad Bahar, Israel wameshamuua tayari kwenye hii vita ya Gaza. sasaivi huko kuzimu anajuta angelirudi ili amwamini Yesu badala ya muhamad.
 
Dah! Eti yupo jehanam, sasa si atakuwa kapewa virgin wake 70 anasheherekea nao?
 
Ile ala wakubaru waiache bas au viongozi wa kiislamu wawakatae kwamba wao sio waislamu na wanayofanya ni utashi wao binafsi
Shehe Ponda na waarabu wenzake walikuwa wanataka kutumia hiyo walakibaru, mi nafikiri hii "walakibaru" ibaki kwa wenye dini yao na maandamano yafanyike kuwaonya magaidi kuitumia.
 
Dah! Eti yupo jehanam, sasa si atakuwa kapewa virgin wake 70 anasheherekea nao?
imagine ameongea hayo, anataka ulimwengu wote usiwe na watu ambao ni wayahudi wala wakristo, wakati hata kipaza sauti anachotumia, kila kitu alichokivaa kinatengenezwa na wakristo na wayahudi (makafir kwake), kabla hata hajamaliza mwaka, palepale Gaza, israel wakampiga chuma.
 
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini yote yanapigania maslai ya kidunia kwa mlango wa dini sawa na mitume na manabii wa uongo
 
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini yote yanapigania maslai ya kidunia kwa mlango wa dini sawa na mitume na manabii wa uongo

IMG_4822.jpg
 
Ant balaka kundi la kigaidi la kuua waislamu lipo central Africa,Lord resistant army Joseph koni Uganda kundi la kigaidi la kikristo.
ADF kundi la kigaidi la kiislamu lipo uganda.
Gaidi hana dini anauwa yeyeto hata wa dini yake anangalia maslai yake
 
Magaidi ndio wanaoufuata Uislamu kwa usahihi.
1. Wanashika nguzo zote 5 za Kiislamu.
2. Wakiwateka watu wanawasilimisha wote kwa lazima mtu akikataa wanamchinja.
3. Wao ndio wanaotumia bendela ya dini ya kiislamu iliyo asisiwa na mtume mwenyewe.
4. Wanachinja watu kwa jina la mola wao Allah. Pale ni kama wanamfurahisha.
5. Ili uwe gaidi ni lazima usilimu na kuwa mwislamu.
6. Wanaipigania dini na mola wao ili itawale dunia.
7. Ndio wanaoishi kwa kushika Sharia. (misingi ya maisha ya kiislamu)
8. Wanapatikana kwenye jamii za Kiislamu.
9. Wengi wanafadhiriwa na taasisi au nchi za kiislamu (iran)
9. Mwongozo wa maisha yao ni kitabu cha qurani.
10. Mtume wao ni muhammadi
11, 12, 13, .......
 
Hapa kuna orodha ya mashirika kumi yanayojulikana kwa shughuli za kigaidi pamoja na dini wanayohusishwa nayo.

1. Al-Qaeda
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Salafi Jihadism)
  • Maelezo: Ilianzishwa na Osama bin Laden, Al-Qaeda inajulikana kwa mashambulizi ya kigaidi duniani kote, ikiwemo shambulio la 11 Septemba 2001 nchini Marekani.
2. ISIS/ISIL (Islamic State of Iraq and Syria/Levant)
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Salafi Jihadism)
  • Maelezo: Kundi hili lilikua kutoka Al-Qaeda na lilijitangaza kuwa "Dola ya Kiislamu." Liliteka maeneo makubwa nchini Iraq na Syria.
3. Boko Haram
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Salafi Jihadism)
  • Maelezo: Kundi la kigaidi lenye makao yake kaskazini mwa Nigeria, Boko Haram inajulikana kwa utekaji nyara wa wanafunzi na mashambulizi dhidi ya raia.
4. Taliban
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Deobandi Islam)
  • Maelezo: Ni kundi lenye msimamo mkali linalopigania kurudisha utawala wa Kiislamu nchini Afghanistan na limekuwa likihusika na mashambulizi ya kigaidi.
5. Hezbollah
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Shia Islam)
  • Maelezo: Kikundi cha wanamgambo na chama cha siasa chenye makao yake nchini Lebanon, kinachopokea msaada kutoka Iran na kinashtumiwa kwa mashambulizi mbalimbali.
6. Al-Shabaab
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Salafi Jihadism)
  • Maelezo: Kikundi cha wanamgambo wa Kiislamu kinachofanya kazi Somalia na Afrika Mashariki. Kinahusishwa na mashambulizi kadhaa katika eneo hilo.
7. Hamas
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Sunni Islam)
  • Maelezo: Kundi la wanamgambo na chama cha kisiasa cha Palestina kinachodhibiti Ukanda wa Gaza. Inajulikana kwa mashambulizi yake dhidi ya Israel.
8. Lashkar-e-Taiba (LeT)
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Ahl-e-Hadith)
  • Maelezo: Kundi la kigaidi lenye makao yake Pakistan, linalojulikana kwa shambulio la 2008 katika mji wa Mumbai, India.
9. Jaish-e-Mohammed (JeM)
  • Dini Inayohusishwa: Uislamu (Deobandi Islam)
  • Maelezo: Kundi la kigaidi lenye makao yake Pakistan, linalohusika na mashambulizi kadhaa dhidi ya majeshi ya India katika eneo la Kashmir.
10. Revolutionary Armed Forces of Colombia (FARC)
  • Dini Inayohusishwa: Hakuna (Ukomunisti)
  • Maelezo: Kundi la wanamgambo nchini Colombia lililokuwa likipigana dhidi ya serikali kwa miongo kadhaa. Ingawa lina mwelekeo wa kisiasa zaidi kuliko kidini, limehusika na vitendo vya kigaidi.
 
Back
Top Bottom