Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
- Thread starter
- #81
Wanataka Uganda kaskazini ijitenge>yah!!!! joseph kony,,,,sasa kwa nini magaidi wa kiislam ndo wanalilinda!!!kwa maslahi gani!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanataka Uganda kaskazini ijitenge>yah!!!! joseph kony,,,,sasa kwa nini magaidi wa kiislam ndo wanalilinda!!!kwa maslahi gani!!!
okay!!! lakini naona siku izi hawana nguvu!!Wanataka Uganda kaskazini ijitenge>
Ndugu zako mazayuni maadui wa Allah na maadui wa Mitume. Au kwa sababu bwana zako Marekani haiwatambui kama magaidi? Unataka wale wanaotambuliwa na bwana zako?Kwahiyo , ukiacha hamas ndugu zako, MAGAIDI wengine duniani ni wapi unao wafahamu?
Wewe wacha kuzungumza in simplistic terms. Mafundisho ya Kiislam usiyaone kwa nje tu, ni hatari. Na wanaanza na watoto Toka wakiwa wadogo. Halafu wakiwa in minority kazi yao kulialia victims; angalia kule Europe na Marekani kwa sasa kinachoendelea. Wewe unafikiri ni kwa bahati mbaya!!?? Muslim Brotherhood wakisaidiwa na siasa za kishoshalisti za vyama vya Democrat (USA) na Labour UK wame brainwash vijana. Ukiwasikiliza maulama wao wanajitapa kuwa they are about to conquer Europe & USAWaislamu gani hao wanaejiweka makundi maalumu?
Unajua nini kuhusu Jihad ndugu? kwa ninavyoona hapa akipigana mzungu huitwa ni vita ila akipigana muislamu huitwa jihad=ugaidi!
Hao unaowaita magaidi wa kiislamu wametengenezwa na nani na mbona huu ugaidi uwe against westerners tu na washirika wake?. Tambua kitu kimoja, hata Mandela naye aliitwa gaidi na wazungu wakati wa struggle for independence! leo hii haohao wanamuita shujaa, do u know why? ... hakulipa kisasi kwa wazungu then wazungu ndo wakaamua kumfanya kiigizo kwa wengine. They will oppress and control everything in your country, when u fight back they will call you a terrorist, when u win the struggle and decide to let the bygones be bygones, they will call u a hero.
Ugaidi wa Alqaida leo umeisha? si ni hao hao USA wamerudisha mamlaka ya Afghanistan kwa Alqaida saivi after 20+ years of occupancy on their country? ... wanasema 'USA does not negotiate with terrorists', mbona wamekabidhi nchi kwa hao waliokuwa wanawaita magaidi?
Jielimishe ndugu, acha kupumbazwa na wazungu!!!
Wewe wacha kuzungumza in simplistic terms. Mafundisho ya Kiislam usiyaone kwa nje tu, ni hatari. Na wanaanza na watoto Toka wakiwa wadogo. Halafu wakiwa in minority kazi yao kulialia victims; angalia kule Europe na Marekani kwa sasa kinachoendelea. Wewe unafikiri ni kwa bahati mbaya!!?? Muslim Brotherhood wakisaidiwa na siasa za kishoshalisti za vyama vya Democrat (USA) na Labour UK wame brainwash vijana. Ukiwasikiliza maulama wao wanajitapa kuwa they are about to conquer Europe & USA
View: https://twitter.com/LizaRosen0000/status/1718605978357088270?t=Jc3NsgkrDCly8sM4jS9ngA&s=19
1998 yes Tanzania na Kenya tuliathirika na matendo ya kigaidi, lakini bado usijitoe akili sisi tumeathirika kwasabau ya tofauti za USA na hao waarabu! mabomu hayakupigwa kariakoo wala manzese yalipigwa kwenye balozi za Marekani, hii inaashiria wazi mwenye kufanya ugaidi huu alikuwa na tatizo na USA na sio Tanzania.Tanzania tulivyolipuliwa na WAISLAMU mwaka 1998 , sisi ni washirika wa nanni?
Huna haya wala hujui ndugu zetu wamefia pale ubalozi wa Marekani? hujui wengine wamekuw vilema wa maisha?
Hao Westen na marekani lini waliamka wakaenda kumshambulia mtu?
Acha upuuzi unaona kabisa wameua westgate Nairobi huku wakiimba alah akbar lakini huna hata chembe ya huruma unataka kutetea ufirauni?
Haujui unachoongea. Huko China kama si nguvu kubwa inayotimiwa na Serikali ya Kikomunisti kungekuwa kunawaka moto. Ila Chinese Government ni wababe wenu na hamna nchi yeyote ya kiislam inaleta fyoko. Unawajua Urghur Muslims wewe?Acha kuwa mtumwa wa fikra wewe! wapi umeona waislamu wanapigana kama si katika ardhi yao dhidi ya dhulma wanayofanyiwa au occasionally katika ardhi ya maadui zao kwa nia ya kulipa kisasi?
Mbona hatujawahi kuona waarabu wanajilipua China?
Haujui unachoongea. Huko China kama si nguvu kubwa inayotimiwa na Serikali ya Kikomunisti kungekuwa kunawaka moto. Ila Chinese Government ni wababe wenu na hamna nchi yeyote ya kiislam inaleta fyoko. Unawajua Urghur Muslims wewe?
Ona hii video
View: https://youtu.be/RpLMShuRMnU?si=UExMiBfWaUpqwH5z
Wewe wacha kuzungumza in simplistic terms. Mafundisho ya Kiislam usiyaone kwa nje tu, ni hatari. Na wanaanza na watoto Toka wakiwa wadogo. Halafu wakiwa in minority kazi yao kulialia victims; angalia kule Europe na Marekani kwa sasa kinachoendelea. Wewe unafikiri ni kwa bahati mbaya!!?? Muslim Brotherhood wakisaidiwa na siasa za kishoshalisti za vyama vya Democrat (USA) na Labour UK wame brainwash vijana. Ukiwasikiliza maulama wao wanajitapa kuwa they are about to conquer Europe & USA
View: https://twitter.com/LizaRosen0000/status/1718605978357088270?t=Jc3NsgkrDCly8sM4jS9ngA&s=19
Dah! Eti yupo jehanam, sasa si atakuwa kapewa virgin wake 70 anasheherekea nao?hili gaidi linaota ndoto za mchana kweupe. na huyu ni Top Hamas leader Ahmad Bahar, Israel wameshamuua tayari kwenye hii vita ya Gaza. sasaivi huko kuzimu anajuta angelirudi ili amwamini Yesu badala ya muhamad.
Shehe Ponda na waarabu wenzake walikuwa wanataka kutumia hiyo walakibaru, mi nafikiri hii "walakibaru" ibaki kwa wenye dini yao na maandamano yafanyike kuwaonya magaidi kuitumia.Ile ala wakubaru waiache bas au viongozi wa kiislamu wawakatae kwamba wao sio waislamu na wanayofanya ni utashi wao binafsi
imagine ameongea hayo, anataka ulimwengu wote usiwe na watu ambao ni wayahudi wala wakristo, wakati hata kipaza sauti anachotumia, kila kitu alichokivaa kinatengenezwa na wakristo na wayahudi (makafir kwake), kabla hata hajamaliza mwaka, palepale Gaza, israel wakampiga chuma.Dah! Eti yupo jehanam, sasa si atakuwa kapewa virgin wake 70 anasheherekea nao?
Hakuna kundi lolote la kigaidi linalopigania dini yote yanapigania maslai ya kidunia kwa mlango wa dini sawa na mitume na manabii wa uongo