Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wazidi kushambulia Msumbiji

Magaidi wenye mlengo wa dini ya kiislamu wazidi kushambulia Msumbiji

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Yote hii kwa ajili ya kumtukuza 'mungu' wao....

Mozambique's army is fighting Islamist insurgents who launched a major attack on the northern town of Macomia on Friday morning, President Filipe Nyusi said in a televised address.

The town is in Cabo Delgado, a gas-rich northern province where Islamic State-linked militants started an insurgency in 2017. Despite a large security response, there has been a surge in attacks since January this year.

"Macomia is under attack since this morning. Fire exchange still continues," he said at around 1000 GMT, adding that the militants initially withdrew after about 45 minutes of fighting, but then regrouped and came back.

brazaj
 
Watu wote wenye nia njema lazima walaani uovu huu unaofanywa na hawa magaidi na kama ni kukaa kimya basi hamna sababu ya kujidai kusema eti Israel wanawafanyia wapalestina ugaidi utakuwa ni unafiki usio na kifani.
 
Anza wewe kwenda kuwasaidia Msumbiji usiandike uharo kwenye JF

Back
Top Bottom