Ford ranger?
Mkuu ist ziko nyingi sana kw hapa dar. Carina labda mikoani.Carina ilitakiwa iwe namba moja
Tupambane mkuu tupate hata vitz[emoji16]Tupo wengi wala hatuwazi
Vitz???Top ten yangu
1. IST
2. Raum
3.Vitz
4.Spacio
5.Noah
6.Rav4
7.Harrier
8.Starlet
9.Allex
10.TI
Mkuu hapo kwenye Starlet ungeitoa Starlet Ukaweka BREVISTop ten yangu
1. IST
2. Raum
3.Vitz
4.Spacio
5.Noah
6.Rav4
7.Harrier
8.Starlet
9.Allex
10.TI
Labda kama upo mkoani maana kwa dar hata mganga akikuambia kalete hayo magari ni mtihaniBila kuweka BREVIS na GRAND MARK II GX 100 110 kwenye hiyo list HATA SIWAELEWI
Anaachaje Prado?.Unaachaje hizi
Noah
Vitz
Passo
Inauma kweny hiyo top 10 unajikuta mtu huna hata moja hapo
naweza kufanyaje nipate updates kutoka kwao mzee??Mara nyingi huwa natumiwa email na mtandao wa Be Forward wakinipa updates mbalimbali juu ya magari yao.
Hata wao pia namba moja wao ni IST na Harrier
Bila kuweka BREVIS na GRAND MARK II GX 100 110 kwenye hiyo list HATA SIWAELEWI
Anaachaje Prado?.
bora atoe subaru aweke Prado
Prado ziko nyingi sana
naweza kufanyaje nipate updates kutoka kwao mzee??
ok ahsante.Fungua akaunti BEFORWARD utakuwa unapata updates kwenye email yako