Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Chifu, I'm not hating, lakini mbona hiyo ni E class? Hiyo nafikiri ndiyo Bongo uitwa macho ya panzi! BTW, hiyo gari siyo ya 2012!Mimi nimenunua Mercedex c 350 ,gharama zote kwa tshs mili 70.
Hilo hapo,toka japan,not zero km!View attachment 444513
compressor iyo mkuu,c200speed 260 hatare sana mkuu jitahid tu uipate hutojuta bt sema hiz gar haziitaj longolongo kwa mafund...kuna moja niiliipelekaga kwa mafund dodoma,moro.walishindwa kumwaga oil...oil nilikuja kumwagia dar.Mimi nahitaji kuagiza Merc ya zamani C200. Natakiwa niwe na Sh ngapi jumla?
CC: RRONDO
Kabisa ni kweli,c200 ni gari ngumu sana jamaa yangu anayo huu mwaka WA 8, injini bado hajaigusa na kwa mwezi lazima isafiri Mara 2 dar to Arusha na ndio anayoitumia kwa mishe za kila Siku hapa mjini, kwenye spidi kaa mbali, hakuna toyota yoyote itakufuata, hata hizo sijui kilimo nini sijui hazitii mguu hapo.Agiza mercedes benz c 200 compressor avantegarde 2007.... hakuna mpuuzi yoyote atakaekusogelea.....sana sana audi 1.8 ndo mtakaesumbuana....
kweli lakiniM
Mtoa swali ameuliza swali akilenga Tanzania ,Kwani Tanzania siku hizi Tshs aitumiki tena jamani mpaka gharama ziwe kwenye malipo ya fedha za kigeni kama USD [emoji385]??????
Kabisa ni kweli,c200 ni gari ngumu sana jamaa yangu anayo huu mwaka WA 8, injini bado hajaigusa na kwa mwezi lazima isafiri Mara 2 dar to Arusha na ndio anayoitumia kwa mishe za kila Siku hapa mjini, kwenye spidi kaa mbali, hakuna toyota yoyote itakufuata, hata hizo sijui kilimo nini sijui hazitii mguu hapo.
compressor iyo mkuu,c200speed 260 hatare sana mkuu jitahid tu uipate hutojuta bt sema hiz gar haziitaj longolongo kwa mafund...kuna moja niiliipelekaga kwa mafund dodoma,moro.walishindwa kumwaga oil...oil nilikuja kumwagia dar.
jamaaa wanakamia kinouuma pale bandarijaji mfawidhi imekuaje hiyo benz ikafika 70milion wakati hilo ni toleo ni la mwaka 2008 kwenda chini...duu kwa hiyo kuleta ya 2015 si itakua balaa hiyo kodi yake...
@Isanga,Ndugu yangu kuagiza si gharama,tatizo bandari,Pale Kuna kodi mpya ya reli ya kati,hii gari ni ya 2012.
Nlilipia CIF plus kodi za bandari almost 28 Mil.
Weka comprehensive insurance ,Ila ipo poa sana.
Mkuu Audi A4 1.9cc ikoje kwa matumizi ya hapa kwetu naihitaji soon hii kitu...Agiza mercedes benz c 200 compressor avantegarde 2007.... hakuna mpuuzi yoyote atakaekusogelea.....sana sana audi 1.8 ndo mtakaesumbuana....
Benz nzuri lakini BMW ni habari nyingine
Bmw wanatamani siku wawe na magari bora kama Mercedes...Mercedes ni mziki mwingine hata ya kizamani yana mapumziko tofauti na bmw...Benz nzuri lakini BMW ni habari nyingine
Hii ni Mercedes Benz E-class kitaalamu inaitwa W211 zimetengenezwa kuanzia mwaka 2002-2009. Sio c350.Mimi nimenunua Mercedex c 350 ,gharama zote kwa tshs mili 70.
Hilo hapo,toka japan,not zero km!View attachment 444513
Hio ni W211 zimeanza kutoka 2002-2009!jaji Mfawidhi upo sahihi kodi yake ipo kati ya 25milion mpaka 35milion...ina maana hiyo benz ina miaka minne nyuna toka itengenezwe? sijajua mwizi wa mwaka ni nani hapo maana hiyo sidhani kama ni ya 2012...
Audi iko poaa...ila wengi wanasema hazina shida....kama unaweza chukua 1.8....Mkuu Audi A4 1.9cc ikoje kwa matumizi ya hapa kwetu naihitaji soon hii kitu...
Kweli kabisa.....nimeona gari ziki overtake lakini kwa benz ni zaidi ya overtake....yaani ni unashtukia kitu kimepita kama umeme....aisee.....Bmw wanatamani siku wawe na magari bora kama Mercedes...Mercedes ni mziki mwingine hata ya kizamani yana mapumziko tofauti na bmw...
Thanks MkuuAudi iko poaa...ila wengi wanasema hazina shida....kama unaweza chukua 1.8....
Umesahau na Audi vehiclesWakuu Ni kwa nini watu wengi hawapendelei gari hizi? Tatizo ni bei na gharama za maintainance ama ni nini shida kubwa ya haya magari..?)
Audi zina shida gani?Umesahau na Audi vehicles