Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Mimi nimenunua Mercedex c 350 ,gharama zote kwa tshs mili 70.
Hilo hapo,toka japan,not zero km!View attachment 444513
Chifu, I'm not hating, lakini mbona hiyo ni E class? Hiyo nafikiri ndiyo Bongo uitwa macho ya panzi! BTW, hiyo gari siyo ya 2012!
Hii ndiyo ya 2012 kwa class hiyo!
 
Attachments

  • 5185C4D0-6381-462C-BD38-4502AE9EF31B-2975-00000462B53FF5A6_tmp.jpg
    5185C4D0-6381-462C-BD38-4502AE9EF31B-2975-00000462B53FF5A6_tmp.jpg
    90.2 KB · Views: 239
Mimi nahitaji kuagiza Merc ya zamani C200. Natakiwa niwe na Sh ngapi jumla?
CC: RRONDO
compressor iyo mkuu,c200speed 260 hatare sana mkuu jitahid tu uipate hutojuta bt sema hiz gar haziitaj longolongo kwa mafund...kuna moja niiliipelekaga kwa mafund dodoma,moro.walishindwa kumwaga oil...oil nilikuja kumwagia dar.
 
Agiza mercedes benz c 200 compressor avantegarde 2007.... hakuna mpuuzi yoyote atakaekusogelea.....sana sana audi 1.8 ndo mtakaesumbuana....
Kabisa ni kweli,c200 ni gari ngumu sana jamaa yangu anayo huu mwaka WA 8, injini bado hajaigusa na kwa mwezi lazima isafiri Mara 2 dar to Arusha na ndio anayoitumia kwa mishe za kila Siku hapa mjini, kwenye spidi kaa mbali, hakuna toyota yoyote itakufuata, hata hizo sijui kilimo nini sijui hazitii mguu hapo.
 
Kabisa ni kweli,c200 ni gari ngumu sana jamaa yangu anayo huu mwaka WA 8, injini bado hajaigusa na kwa mwezi lazima isafiri Mara 2 dar to Arusha na ndio anayoitumia kwa mishe za kila Siku hapa mjini, kwenye spidi kaa mbali, hakuna toyota yoyote itakufuata, hata hizo sijui kilimo nini sijui hazitii mguu hapo.

compressor iyo mkuu,c200speed 260 hatare sana mkuu jitahid tu uipate hutojuta bt sema hiz gar haziitaj longolongo kwa mafund...kuna moja niiliipelekaga kwa mafund dodoma,moro.walishindwa kumwaga oil...oil nilikuja kumwagia dar.
 
jaji mfawidhi imekuaje hiyo benz ikafika 70milion wakati hilo ni toleo ni la mwaka 2008 kwenda chini...duu kwa hiyo kuleta ya 2015 si itakua balaa hiyo kodi yake...
jamaaa wanakamia kinouuma pale bandari
@Isanga,Ndugu yangu kuagiza si gharama,tatizo bandari,Pale Kuna kodi mpya ya reli ya kati,hii gari ni ya 2012.

Nlilipia CIF plus kodi za bandari almost 28 Mil.
Weka comprehensive insurance ,Ila ipo poa sana.
 
jaji Mfawidhi upo sahihi kodi yake ipo kati ya 25milion mpaka 35milion...ina maana hiyo benz ina miaka minne nyuna toka itengenezwe? sijajua mwizi wa mwaka ni nani hapo maana hiyo sidhani kama ni ya 2012...
Hio ni W211 zimeanza kutoka 2002-2009!
 
Bmw wanatamani siku wawe na magari bora kama Mercedes...Mercedes ni mziki mwingine hata ya kizamani yana mapumziko tofauti na bmw...
Kweli kabisa.....nimeona gari ziki overtake lakini kwa benz ni zaidi ya overtake....yaani ni unashtukia kitu kimepita kama umeme....aisee.....
 
Back
Top Bottom