Inategemea ni ya mwaka gani na ina options gani.
Mpya ya 2017 ina bei MSRP $65,650. Hapo hujasafirisha wala kulipia kodi ya TRA ya Magufuli ambayo watakuambia hii gari ya anasa tunataka uilipie kodi kama unainunua upya.
Hii hapa valuation ya used la mwaka 2014.
Gari la 2017 brand new MSRP ni $65,650 la 2014 wao wameli value at $ 72,154.
Total Import Taxes (USD): 46,747.69
Hiyo valuation na kodi huko kwa huku US nanunua karibu mawili hayo.
Nilivyoondoka bongo sikukosea.
Halafu Range Rover zinakongoroka sana. Tulikuwa nayo home zamani Vogue 4.0 ilikongoroka kinini sijui, spare ikabidi mpaka Nairobi. Sijui kama siku hizi wame improve.
USED MOTOR VEHICLE VALUATION CALCULATOR
You are viewing Valuation Details of a 2014 LANDROVER RANGE ROVER SPORT - SUV.
Click here for another Valuation
Reference Number: 1617228702
Make: LANDROVER
Model: RANGE ROVER SPORT
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2014
Country: EUROPE
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2501 CC & ABOVE
Customs Value CIF (USD): 72,154.58
Import Duty (USD): 18,038.65
Excise Duty (USD): 9,019.32
Excise Duty due to Age (USD): 0.00
VAT (USD): 18,174.48
Custom Processing Fee (USD): 432.93
Railway Dev Levy (USD): 1,082.32
Total Import Taxes (USD): 46,747.69
Total Import Taxes (TSHS): 104,518,021.37
Vehicle Registration Fee (TSHS): 540,000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 105,058,021.37