Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Magari aina ya BMW na Mercedez Benz huwa na matatizo gani?

Inategemea ni ya mwaka gani na ina options gani.

Mpya ya 2017 ina bei MSRP $65,650. Hapo hujasafirisha wala kulipia kodi ya TRA ya Magufuli ambayo watakuambia hii gari ya anasa tunataka uilipie kodi kama unainunua upya.

Hii hapa valuation ya used la mwaka 2014.

Gari la 2017 brand new MSRP ni $65,650 la 2014 wao wameli value at $ 72,154.
Total Import Taxes (USD): 46,747.69

Hiyo valuation na kodi huko kwa huku US nanunua karibu mawili hayo.

Nilivyoondoka bongo sikukosea.

Halafu Range Rover zinakongoroka sana. Tulikuwa nayo home zamani Vogue 4.0 ilikongoroka kinini sijui, spare ikabidi mpaka Nairobi. Sijui kama siku hizi wame improve.

USED MOTOR VEHICLE VALUATION CALCULATOR

You are viewing Valuation Details of a 2014 LANDROVER RANGE ROVER SPORT - SUV. Click here for another Valuation
Reference Number: 1617228702
Make: LANDROVER
Model: RANGE ROVER SPORT
Body Type: SUV
Year of Manufacture: 2014
Country: EUROPE
Fuel Type: PETROL
Engine Capacity: 2501 CC & ABOVE
Customs Value CIF (USD): 72,154.58
Import Duty (USD): 18,038.65
Excise Duty (USD): 9,019.32
Excise Duty due to Age (USD): 0.00
VAT (USD): 18,174.48
Custom Processing Fee (USD): 432.93
Railway Dev Levy (USD): 1,082.32
Total Import Taxes (USD): 46,747.69
Total Import Taxes (TSHS): 104,518,021.37
Vehicle Registration Fee (TSHS): 540,000.00
TOTAL TAXES (TSHS): 105,058,021.37
Asante sana mkuu ili serikali imeweka kodi kubwa sijui lengo lao nini
 
Benz C Class siwezi kununua.

Labda kama ni kununua kumzawadia mtoto wa miaka 16 anayeanza kujifunza kuendesha gari na anataka kujifunzia Benz.

Ukiniambia CLS 550 kama ya Ray Donovan hapo maneno mengine.

liev-schrieber-is-all-about-style-in-his-mercedes-cls-550-85714_1.jpg
Umenikumbusha Ray Donovan baba yake alikuwa na vituko ,sikuimaliza kuiangalia yotee lo
 
Hahaha, kumbe umemind yule mshua vituko vyake? Yule ni kichaa tofauti kabisa. Tafuta muda uimalize.
Na mdogo wake yule alikuwa hana demu watu wakadhani ni gay,siku moja kulikuwa na sherehe ,jamaa mmoja akamtongoza weeee mdogo wa Ray alikasirika am not a gay,akaja akapata ka mchuchu wakafunga ndoa,,
Ila Ray alijitahidi kuilinda familia yake ,baba yake,wadogo zake,mkewe na wanae lo,,alikuwa hampendi baba yake lakin alijitahidi hivyo hivyo,yule mwingine aliekuwa akiumwa ugonjwa kama wa Lowassa sijui aliishia wapi
 
Wewe umeishia season gani? Inawezekana umenipita.

Mimi mwenyewe sijaimaliza inabidi niimalizie.
 
Wewe umeishia season gani? Inawezekana umenipita.

Mimi mwenyewe sijaimaliza inabidi niimalizie.
Mi niliishia pale Ray anatafutwa akamatwee ,,sikumbuki episode ya ngapi lakin ni mwishoni,unajua Ray kuna vitu alikuwa anafajya ni ubadhilifu,na muda mwingine tu kuilinda familia yake ,yaan familia yake walikuwa wanamuingiza matatizoni,liktoka hili linakuja lile akajitoa kafara ,
Ray alikuwa anamchukia baba yake sababu alisababisha kifo cha dada yao ,,
Mi niliangalia hiyo Ray na beuty and the beast
 
Wakuu Ni kwa nini watu wengi hawapendelei gari hizi? Tatizo ni bei na gharama za maintainance ama ni nini shida kubwa ya haya magari..?)
Hahaha, bmw, Audi and Mercedes-Benz, I call them "the money pit machines". In a nutshell, these are the high tech cars, very sophisticated and full of faults in case of even a minor problem. They are not that expensive to buy as people think, the most expensive thing with these cars is the high cost to maintain them. Remember in Tanzania we still don't even reliable mechanics to fix these freaking German cars which are full of unnecessarily complex techniques. I remember I bought a 1 series BMW back in 2015, it was a high quality used car grade 4.5. But on the same day I took it from icd the check engine turned on. I took it to Noble motors (BMW Agent in Tanzania ) but they failed to fix it, after diagnosing the car they said the air flow mass sensor had fault and that we had to change it. We didn't get that part in Tanzania so we had to order it from other countries. In two week time, the part came and we replaced but the check engine wouldn't turn off. It took the car to all the European cars mechanics but they gave no solution.
All I can say is that if you're looking forward to impressing people that you're driving the European cars and have got money to spend on maintaining them then you can just buy them. Otherwise, go for Toyota Camry, Crown, vanguard and the like.
Thank you
 
Umepiga english ya ukweli iliyonyooka kama ruler mpaka nadoubt kama we mbongo mwenzetu...

Infact izo gari majority tunanunulia sifa tu shuhuli yake ipo kwenye maintanance
Mtu anaagiza sight mirror dubai jamani
 
Na hata hiyo dola 50 ni kwa series hizi za chini na wala haijumlishi parts na labor.

Kwa conservative estimate gharama nzima ya oil change inaweza isiwe chini ya dola 100.

Na ukiwa na 7 series ndo kabisa...unaangalia kitu kama dola 200 kwenda juu.
BMW X5 kubadilisha oil pekee yake si chini laki 3. Hata hivyo ni baada ya kilometres 12000.
 
Hayo ni magari ya kifahari.

Kwa hiyo bei pamoja na gharama za matunzo ni kubwa.

Sijawahi kuona gharama za kubadili oil za BMW zilizo chini ya dola 50 za Kimarekani.

Nayapenda sanaaaaa magari hayo na Audi juu
 
Back
Top Bottom