Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
- Thread starter
- #41
Mimi nimewahi kupotea mtaa niliopaki gari yangu. Nilihangaika kwa masaa 2 natafutaMleta mada shida sio magari shida ni wanfanyao biashara barabarani, kuna siku nilishawahi kwama mtaa fulani almost masaa mawili aloo mbele huendi nyuma hutoki.