Magari binafsi yapigwe marufu kuingia Kariakoo

Mleta mada shida sio magari shida ni wanfanyao biashara barabarani, kuna siku nilishawahi kwama mtaa fulani almost masaa mawili aloo mbele huendi nyuma hutoki.
Mimi nimewahi kupotea mtaa niliopaki gari yangu. Nilihangaika kwa masaa 2 natafuta
 
Kufika sijafika mkuu.

Lakini technology imehusika.

Kwani watu wakisema dunia kijiji wana maana gani?
Unahokipata kwa kusoma kwenye mitandao ni tofauti na ile ya kujionea kwa macho
 
Ni sawa naelewa soko limewakuta,

Lakini kwa hivi sasa Kariakoo ni soko la Kimataifa...wahamishiwe kwingine na kujengewa makazi, soko litanuliwe
Kwani wangapi walishahamishwa makwao?
Au waishi kwenye maghorofa
 
Brilliant idea
 
dawa ni kuihamisha kariakoo nyingine iwe magomeni au ilala au kinondoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…