Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Bishoo97

New Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
4
Reaction score
15
Hivi Karibuni nilikuwa naona IST ndio ya vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST

Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana.

Naombeni maoni yenu kuwa ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati?
 
Audi A4
images (13).jpeg
 
Mi huwa nashangaa eti mtu hutaki kununua gari kama ist kwasababu zipo nyingi mtaani...sasa we una angalia watu wana nini mtaani au una angalia interest yako na mfuko wako?

Bytheway kizuri kinapendwa na wengi mi nafikiri ungeenda kiundani zaidi ili ujue ni kwa nini IST zinapendwa na zimejaa mtaaani lasivyo

Chukua BMW au Benz kelele kwishney
 
Back
Top Bottom