Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Jeep Grand Cherokee Limited: siyo kila Jeep bali lazima iwe ni "Grand Cherokee Limited"

1690073186934.png

1690073271109.png


Inauzwa $62,000 tu
 
Hivi Karibuni nilikuwa naona IST ndio ya vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST

Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana.

Naombeni maoni yenu kuwa ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati?
Uchumi wa kati kwa kijana ni kiasi gani
 
Kama pesa sio tatizo jitwishe Crown! Mle kuna burudani ya hali ya juu usione vijana wenzio tunakimbilia mle, demu wako akipewa lift siku moja tu mle anachagua Lodge ya kupelekwa the next day!😜
Kwahiyo mzee nikimpa lift cocastic hachomoki namla bila chumvi au sio?😁
 
Back
Top Bottom