Gari kupiga resi na kupandisha RPM ukiweka Parking na Neutral
Watch
•••
[IMG alt="Jum Records"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/233/233019.jpg?1586087855[/IMG]
JF-Expert Member
Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark.
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nini kifanyike?
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Zamaulid"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/16/16111.jpg?1428728711[/IMG]
JF-Expert Member
Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark

Nin kifanyike?
Click to expand...
Mkuu niletee kazi hiyo, nipo Gongolamboto
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
PureView zeiss

Mkuu ungetoa ushauri ungenisaidia mkuu...
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Von_Lufuta"]https://www.jamiiforums.com/styles/bannedavatar/avatar_banned_m.png[/IMG]
JF-Expert Member
Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nin kifanyike?
Click to expand...
Nikinunua gari likapata shida hii nitarudi kucomment hapa
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
Jum Records
[IMG alt="Jum Records"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/233/233019.jpg?1586087855[/IMG]
JF-Expert Member
JituMirabaMinne Jitumirabaminne
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="profesawaaganojipya"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/285/285763.jpg?1656698494[/IMG]
JF-Expert Member
Mkuu niletee kazi hiyo, nipo Gongolamboto
mkuu toa ushauri wa kitaalamu ili,ukubalike kwa point zako,baada ya hapo tutakuja tu kijiweni kwako,mbona JituMirabaMinne tumemkubali kwa ushauri wake na anapata kazi nyingi..
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
lupacha kifaluhande and Zamaulid
[IMG alt="Zamaulid"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/16/16111.jpg?1428728711[/IMG]
JF-Expert Member
mkuu toa ushauri wa kitaalamu ili,ukubalike kwa point zako,baada ya hapo tutakuja tu kijiweni kwako,mbona JituMirabaMinne tumemkubali kwa ushauri wake na anapata kazi nyingi..
Nimekuelewa
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
profesawaaganojipya
[IMG alt="profesawaaganojipya"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/285/285763.jpg?1656698494[/IMG]
JF-Expert Member
Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark.
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nini kifanyike?
Click to expand...
mimi siyo mtaalam,ila nime google tu.
Attachments

IMG_20230605_163228.jpg
160.5 KB · Views: 11

IMG_20230605_163128.jpg
161 KB · Views: 10
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="profesawaaganojipya"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/285/285763.jpg?1656698494[/IMG]
JF-Expert Member
nimeendelea ku google nikaona na picha zake,cjui kama inaweza saidia mafundi kutufafanulia kwa undani.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Tabutupu"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/32/32534.jpg?1621076704[/IMG]
JF-Expert Member
nimeendelea ku google nikaona na picha zake,cjui kama inaweza saidia mafundi kutufafanulia kwa undani.
View attachment 2647399View attachment 2647400
Mzee umepatia, mwenyewe nilikua na shida kama hii kwenye LC120, fundi akafungua kadude akakasafisha na dawa anaijua mwenyewe, RPM inakua below 1 hata nikiweka P.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="profesawaaganojipya"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/285/285763.jpg?1656698494[/IMG]
JF-Expert Member
Mzee umepatia, mwenyewe nilikua na shida kama hii kwenye LC120, fundi akafungua kadude akakasafisha na dawa anaijua mwenyewe, RPM inakua below 1 hata nikiweka P.
fundi wa wapi mkuu,na alikuchaji sh ngapi mkuu..
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="new generation"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/74/74043.jpg?1637501561[/IMG]
JF-Expert Member
Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark.
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nini kifanyike?
Click to expand...
pole mkuu.. IST inatumia throttle body mechanical ambayo inaendeshwa na cable.. but kwa ist because of design ya throttle body, kuna valve nyingine pembeni ya throttle body inayokuwa inawekwa kwa ajili ya ku control idle speed ya engine (silencer) hiyo valve inaitwa idle control valve.. ndan inakua ni valve (electric driven) inayo control kiwango cha hewa kuingia ndani ya injini pindi engine inapokua at idle state (ie kwenye P or N). sasa hii idle control valve because of carbon build up huwa inakumbwa na tatizo la ku-stuck open or close.. sasa hii valve iki stuck close, engine idle speed itakua chini sana na hata kupelekea injini kuzima, iki stuck open basi valve itapitasha hewa nyingi kuingia kwenye combustion chember na kufanya idle speed iwe juu.. (kumbuka hii valve pia ndo inayofanya gari ipandishe silencer juu na kushusha pale unapokua umewasha air condition)
kwahiyo kwa tatizo lako inaonekana idle control valve ya gari yako ime stuck open therefore inaruhusu hewa nyingi kuingia kwenye intake manifold na kufanya idle speed iwe juu.. ni very simple problem ambayo hata wewe mwenyewe unaweza kulitibu.. fungua hiyo idle control valve, chukua carb cleaner spray yoyote pulizia, ule uchafu ukitoka tu gari mpya.., na kama ukimpelekea fundi akusafishie basi cost isizidi Tzs 10,000.
Kwa watu wenye gari inayokuja na throttle body ya umeme hili tatizo halipo na likitokea mara nyingi utakuta mtu kasafisha ile throttle body.. so kama ni gari ya toyota na ina throttle ya umeme, ikitokea idle speed imepanda baada ya kusafisha throttle, usijipe pressure kutafuta fundi ashushe silencer, gari yenyewe itajishusha to appropreate idle speed after few days. (hii ni kwasababu ECU ita relearn new position ya throttle plate na kufanya micro adjustment until idle speed inafika to appropriate level designed for that specific engine.)
Thanks Quote Reply
Report
Reactions:
kaburungu, Nguvuyabwana and Warrior
[IMG alt="ozigizaga"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/168/168963.jpg?1659374307[/IMG]
JF-Expert Member
Wakuu kuna gari Toyota Ist cc 1290, jumamosi iliyopita imeanza tabia ya kujipiga resi na kupandish RPM hadi 2 ukiwa unapark baada ya mizunguko na kuweka P ama ukiamua kuweka N neutral.
Ukiwa unaendesha gari inakua haina shida ila shida tu ukipark.
Nimejaribu kwenda kwa fundi na akasafisha kwa ile spray ile inayoruhusu hewa na mafuta throttle sijui kama nimepatia lakin tatizo limepungua kidogo ila bado lipo kwa 60%
Nini kifanyike?
Click to expand...
Kuna nissan xtrail ina hii tabia pia. ikiwa parking au neutral ni RPM ipo 2 ila ukiweka D au R inashuka
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="new generation"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/74/74043.jpg?1637501561[/IMG]
JF-Expert Member
Kuna nissan xtrail ina hii tabia pia. ikiwa parking au neutral ni RPM ipo 2 ila ukiweka D au R inashuka
kama ni nissan xtrail ile inayokua na throttle body ya cable basi tatizo ni hiyo Idle control valve, na kama ni nissan xtrail inayokuja na throttle body ya umeme,, check throttle position sensor, check gas peddle position sensor.. mara nyingi hizi zenye throttle ya umeme huwa zina store trouble code (DTC) kwenye issue hii ili ukiweka mashine ikupe readings za trouble code. kumbuka nissan inayokuja na throttle body ya umeme issue yake baada ya ku rekebesha tatizo huwa inahitahi uweke scanner ambayo ni bi-directional kurekebisha idle speed tofuati na toyota ambayo tatizo likisha sortiwa trouble code inaondoka yenyewe (thats why i always like toyota and honda)
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="ozigizaga"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/168/168963.jpg?1659374307[/IMG]
JF-Expert Member
kama ni nissan xtrail ile inayokua na throttle body ya cable basi tatizo ni hiyo Idle control valve, na kama ni nissan xtrail inayokuja na throttle body ya umeme,, check throttle position sensor, check gas peddle position sensor.. mara nyingi hizi zenye throttle ya umeme huwa zina store trouble code (DTC) kwenye issue hii ili ukiweka mashine ikupe readings za trouble code. kumbuka nissan inayokuja na throttle body ya umeme issue yake baada ya ku rekebesha tatizo huwa inahitahi uweke scanner ambayo ni bi-directional kurekebisha idle speed tofuati na toyota ambayo tatizo likisha sortiwa trouble code inaondoka yenyewe (thats why i always like toyota and honda)
Click to expand...
shukrani mkuu.
Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Hermanx"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/685/685338.jpg?1663817921[/IMG]
Member
SAMAHANINI WADAU NIKO NJE YA MADA KIDOGO, NIWAPE HUDUMA HII, WADAU UKIWA NA TIGO UNAWEZA USIZIME DATA KWA HIZI BANDO ZENYE UNAFUU MNOO‼️
15G=15000/=, 35GB=30000/=, 48GB=40000/= 72GB=60000/= NA 120GB=100000/=
Bando hizi utakua unazipata kwa miaka miwili mfululizo kila tarehe moja unaingiziwa, KUJIUNGA HUMTUMII MTU YEYOTE HELA,
nakupa maelekezo buree unalipia moja kwa moja tigo kama unavyojiunga vifurush vingine. Huduma hii ni uhakika nikikupa maelekezo unaweza hata kupiga 100 ukaulizia na ukalinganisha maelekezo yangu na ya customer care.
(
Airtel pia naunga Huduma ya SME itakayokupa GB kibao kwa gharama kidogo)
Soma maelekezo hapo chini au nicheki 0717700921
JINSI YA KUJIUNGA
Piga *150*01#
➡️Kisha chagua no4
➡️Kisha chagua no 2 (kupata majina)
➡️Kisha chagua no 6 (tigo business)
➡️Kisha chagua no 2 (security deposit)
➡️Kisha chagua no1
➡️Kisha kumbukumbu no weka no yako ya tigo
➡️Kisha weka kiasi kulingana na kifurushi unachotaka kama ilivyo kwenye chat(
angalia chat kwenye dp yangu )
➡️Kisha weka no ya siri kudhibitisha!
Ukikamilisha nifahamishe ! 0717700921