Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Kama pesa sio tatizo jitwishe Crown! Mle kuna burudani ya hali ya juu usione vijana wenzio tunakimbilia mle, demu wako akipewa lift siku moja tu mle anachagua Lodge ya kupelekwa the next day!😜
Je Sisi wenye harrier ? Si ndo wanavua kabisa 😃
 
Shida inaweza isiwe kwenye wingi wa Ist , ila ndio gari zinaongoza kwa kuibiwa spare. Hakuna kitu kinauma kama unaamka asubihi unakuta watu wameondoka hadi na bampa, halafu unaenda mnadani unanunua vifaaa kama hivyo huku ukijua navyo vimeibiwa kwa mwenzio.

Gari za kijerumani ni nadra sana kusikia zimeibiwa vitu
Umeandika point sana mkuu...
Sasa saidia kitu kimoja .. weka list ya hizo gari( ndogondogo in terms of CC ) za KIJERUMANI tuzijue
 
Hivi Karibuni nilikuwa naona IST ndio ya vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST

Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana.

Naombeni maoni yenu kuwa ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati?
Hahaha, Brevis 😂😂😂
 
Mi huwa nashangaa eti mtu hutaki kununua gari kama ist kwasababu zipo nyingi mtaani...sasa we una angalia watu wana nini mtaani au una angalia interest yako na mfuko wako?

Bytheway kizuri kinapendwa na wengi mi nafikiri ungeenda kiundani zaidi ili ujue ni kwa nini IST zinapendwa na zimejaa mtaaani lasivyo

Chukua BMW au Benz kelele kwishney
Kwa sababu inawaka hata ukiweka mafuta ya shs.50/=, kuna gari mafuta ya buku 10 mshale haushtuki 😂😂😂
 
Kwani ka mini cooper kwa kijana kana ubaya gani ?
 
.
4a17bb343f4f4d88a5fdb69a80daa9a8.jpg
 
Vijana wa arusha tunasukuma subaru cross-sport simba mtoto.
 
Achana na ujinga mwingine RUNX X or allex .chukua moja wapo
 
Back
Top Bottom