cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ni shida kwa kweli, lolwatu wanakera. kama huna uwezo wa kumiliki ndinga kali basi usiponde walionazo.
kutwa kuponda tu.. dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni shida kwa kweli, lolwatu wanakera. kama huna uwezo wa kumiliki ndinga kali basi usiponde walionazo.
kutwa kuponda tu.. dah
Hahahaa....full kutuchanganya mtaani..wengine tuna za wateja tunawasaidia kuuza
kitaa tunasifika kwa kubadili ndinga
Nimejarbu kuwaza siku akipush Passo ya piston 3... [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tuishi humo tyuuh, mkuu hakna namna.
Sawa Boss, ule mpango wako wa kuzamia ughaibuni bado upo?Sijawahi kuishi kwa kumaintain status, halafu naishi maisha yangu vile nipendavyo, siangalii watu wa nje wananitazamaje,
Poleeeeh San kwa hilo.
Ngoja niidownload hii ngomaBeamer, Benz or Bentley.
Ogopa sana technology!View attachment 1802839huyu mdada kweli anamiliki x6 😅
Kweli acha jamii forums iitwe JF hakuna masikini huku kila mtu ana gari kali 😅
Hongera Sana mkuu,kwa kupiga hatua kubwa kimaisha,sisi akina Yakhe,hata uwezo wa kumiliki bodaboda hatuna, Utuombee kwa Mungu ili nasi tuweze kufanikiwa km wewe.Mimi kama kijana wa kisasa naendesha hii Faru.Spacio,IST pamoja na takataka nyingine ni kwa ajili ya houseboys na housegirls.
View attachment 1797744
Una point nzuri Sana,sema hujafafanua.Kwa maisha yalivyo sasa, kijana mwenye malengo ya maisha ya muda mrefu kuikwepa IST ni vigumu sana na pia hatari.
Mungu wangu wee!! Mbavu zinauma hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.Nimejarbu kuwaza siku akipush Passo ya piston 3... [emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimewaza tu najua hawezi fika huko..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Jamani sikuwahi kusema nitazamia ughaibuni, but nilisema nitatafuta opportunity za kunifikisha huko, na zipo nyingi sana kwa upande wangu, ni suala la muda tyuuh.Sawa Boss, ule mpango wako wa kuzamia ughaibuni bado upo?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapo sasa nimekusoma..Mungu wangu wee!! Mbavu zinauma hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
Maisha kuna kupanda na kushuka, so inaweza kuwa, uvumilivu unakuwepo life linasonga hat km kibishi, hahahah
Hizo opportunities za ughaibuni zimwage hapa..Jamani sikuwahi kusema nitazamia ughaibuni, but nilisema nitatafuta opportunity za kunifikisha huko, na zipo nyingi sana kwa upande wangu, ni suala la muda tyuuh.
Haya lete jingine linalonihusu unalolifaham nikusaidie upate ufafanuzi, maan naona umekua ukinifuatilia kila nakopita lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Jamani sikuwahi kusema nitazamia ughaibuni, but nilisema nitatafuta opportunity za kunifikisha huko, na zipo nyingi sana kwa upande wangu, ni suala la muda tyuuh.
Haya lete jingine linalonihusu unalolifaham nikusaidie upate ufafanuzi, maan naona umekua ukinifuatilia kila nakopita lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nunua kwa mujibu wa uwezo wako kifedha, pia uangalie na consumption ya mafuta hasa kwa hapa Dar ambapo foleni haziepukiki. Usije jikuta umenunua gari unashindwa hata kuiendesha siku tatu kwa wiki kutokana na utumiaji wake mkubwa wa mafuta. Ukiwa ni mfanyakazi wa serikali basi nakushauri usizidishe gari ya cc 1500.
Pia utazame urahisi wa kupata spares kama unaweza kupata hapa au lazima uagize kutoka nje. Pia inahitaji service na maintenance nyingine ambazo utakuwa unatumia pesa tu.
Ukinunua mgari mkubwa utaishia kutumia fedha tu hasa ukiwa huna chanzo chengine cha fedha (utageuka chuma ulete).
Nyie ndo mnafanya watu wabadili Id
Hii ngoma ukiingia nayo sheli unatukombea mafuta yote sisi wenye ISTMimi kama kijana wa kisasa naendesha hii Faru.Spacio,IST pamoja na takataka nyingine ni kwa ajili ya houseboys na housegirls.
View attachment 1797744
Hawa jamaa nawakubali wamerudisha chuma Suzuki Gypsy King toleo la zamani mpya kabisa!Nimeona sahivi hii Suzuki Jimny kama kimekaa poa hivi. Ila itabidi nijipange maana hizi ni zero km brand new car [emoji28] View attachment 1805988