Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Hiyo gari ni nzuri ila uchague rangi nzuri ila isiwe ile rangi yetu ya kukariri weka rim sport nzuri ila isiwe na mbwembwe ila gari NZURI inayotumia LPG hii ni gari ya maskini kabisa 15kgms kwa ruti ya kilometa ishirini kila siku natumia wiki mbili kasoro, Ndinga yangu ni hyundai LPG LEFT HAND COMFORTABLY HATAREE dashboard imesheheni inavutia sana.
Rumion ipo kwenye chat ila umbile lake kama Lunchbox dah inanipa ukakasi
 
Haa haaa haa 😛😀😀

Halafu wee jamaa acha utani basi...

Yaani gari zetu za kujidai unaziita takataka huku wewe unaendesha trekta hii mitaani😀😀😀...!!?
E1gl9.jpg
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapo sasa nimekusoma..

Ashukuriwe Mungu aliye juu mbinguni, umetamka point muhimu..UVUMILIVU..[emoji119][emoji119]

Maana bila uvumilivu, kutoka X6 mpaka passo 3pistons,

Lazima sponsor mwenye tako la nyani au Murano achukue nafasi..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah ila wee lol.
 
Mkuu naomba details zaidi kwenye polo. Nahitaji kununua.. asante

Sorry mkuu Nelly1 .. ndo naona leo comment yako hapa.

Vw polo ni gari nzuri, comfortability na speed ndio mwake. Mafuta inakula vizuri over 15km kwa lita (yani kama IST tu)

Changamoto ya VW ni spea gharama, ila zinapatikana siku hizi kuna maduka mengi sana ya european brands, pia spea ndogo ndogo zinaingiliana na european cars zngne kama audi, benz etc.

Kitu kingine haitaki ubabaishaji, weka oil recomended (imeandikwa kabisa kwny mfuniko pale) ya castrol (nanunuaga elf 80).. ukiipenda hakika itakupenda na utaifurahia

Katika european brands, polo ndio cheapest ku maintain, yaani kama hautaweza polo basi sahau kumiliki european brand yoyote
 
Kati ya Hallier na RAV4 Rash like type ni ipi inafaa zaidi kwa matumizi ya familia?
 
Back
Top Bottom