Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Hahahaaaaa hii ndio raha ya mtandao kila mtu tajiri kumbe uhalisia hapo ndio kwanza upo kwa dada yako tandale kwa mtogole unakimbizana na daladala unamsaidia kutembeza ubuyu na juice stand ya daladala baada ya ku reseat mtihan wa form 4 mara tatu na kukosa credit

Maskini ndio mara nyingi wana tambo na kejeli sana, huwa iko hiyo ili kufurahisha hisia zao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman khaaah huu uzi watu wapo na mie mweeh, sijawahi ku reseat mtihani au kurudia darasa, wala kufeli ktk level yeyote ya Elimu,

Na hakna dada yangu anayefanya hiyo biashara, labda km una jingine, poleeeeh kwa kuteseka lol.
 
Hivi Karibuni nilikuwa naona IST ndio ya vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST

Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana.

Naombeni maoni yenu kuwa ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati?
Wewe dogo gari hainunuliwi kwa kuangalia wenzako wananunua ipi;
wewe zingatia yafuatayo
1. Unahitaji gari ya kufanyia kazi gani (hii itakusaidia kujua ukubwa, na uimara na aina kulingana na matumizi)
2. Itaenda wastani wa umbali gani kwa siku ( hii itakusaidia kukadiria gharama za uendeshaji na wear & tear)
3. Unauwezo wa kuweka mafuta kiasi gani kwa siku/mwezi
4. upatikanaji wa vipuri/spare na mafundi wa hiyo gari; kama zipo mjini kwako au hadi uagize mikonani/Nje ya Nchi
5. Unategemea kutembelea zaidi barabara za aina gani ( Vumbi au Lami) ili uangalia ground clearance. usije kununua gari inatemea karibia iguse lami na kwenu barabara za vumbi

Ukijibu hayo maswali utaweza kununua gari la kukufaa bila kufuata mkumbo wa kununua gari siku unayofuata una anza kuhangaika na Spacer , sijui tairi kubwa nk
Kama uwezo wako ni wa kawaida NunuaToyota na kama hutapata chaguao lako jaribu Nissan
 
Hapo kwa range rover mie huwa akili inahama, kuna shost angu m1 danga lake alikua na Range Rover kali kinyama kudadadeki, mtoto anaenda nalo chuo, weekend tunakua nalo misele, afu mafuta nakanyaga mie,

Sijui Ali fail wapi eti akatoswa, ***** ningekua mie yule sponsor wallah Jah angenisamehe tyuuh, ningefanya vyovyote nimdhibiti awe chini yangu nahakikisha hafurukuti, yaan mtu ana mpunga, ndinga kali unaanzaje kutoswa daaaah.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nikikumbuka ile ndinga hapan yaan,

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Aisee.[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
mumeo inatakiwa apambane kinyama, azidi kununua mandinga makali....
 
Boss, for good na ku maintain status yako ya ki beamer beamer X6, tafuta ata Samsung note8 hizo cheap brand Tecno na Infinix tuachie sisi watu wa baby walker😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman khaaah huu uzi watu wapo na mie mweeh, sijawahi ku reseat mtihani au kurudia darasa, wala kufeli ktk level yeyote ya Elimu,

Na hakna dada yangu anayefanya hiyo biashara, labda km una jingine, poleeeeh kwa kuteseka lol.
Screenshot_20210530-103702~3.png
huyu mdada kweli anamiliki x6 😅

Kweli acha jamii forums iitwe JF hakuna masikini huku kila mtu ana gari kali 😅
 
Back
Top Bottom