Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Heeeeh wee uko na mie? Wazaz wangu wote wana gari za kutembelea, usidhan hapa naropoka, naona unaumia San poleeeh.
😂😂Hapana mi siumii na sina sababu ya kuumia mm mbona nimetulia tu na Passo yangu ya cc 990. Ww unaonekena ni mtoto wa kitajiri nilikuwa interested tu kujua model na mfy ya hiyo BMW ya mshua wako mana kama ww unaendesha BMW X6 hyo ya mshua si itakuwa hatari😯. Jst to inspire sisi watu wa baby walker kama Passo and the like ili tutafute pesa tifike hko kwenye mabeamer
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwani cm na gari zinahusiana nini? Wapo wanaotumia Tecno na wana drive ndinga za maana, au unataka nikutajie? Mambo mengine uwage kimya unajidhalilisha buree, huo ni ushamba.
Nisamehe bure tatizo sisi watu tulio obsessed na matheory tuna shida sana..nili-refer ile theory ya relativity ya ndugu yetu Einstein "Special relativity applies to all physical phenomena" Bmw X6 ni gari ya kitajiri ile sio sawa na passo yangu..sasa matajri wengi sana wa mfano wako ni ngumu sana kuwakuta wanatumia simu ambazo tunatumia sisi masikini na changamoto ya hizi simu zetu za kimasikini(Tecno, infinix, Itel and etc)ni kukata mawasiliano, kujipiga zenyewe japokuwa sisi masikini tunapambananazo hvyo hvyo na zinajulikana kama cheap brand. Sasa nimeshangaa tajiri kama ww kutumia infinix (cheap brand) ndio dhana ya ulinganifu huo. Daah kumbe mimi ndio mshamba😂😂😂 kumshangaa tajiri (classic woman)Cocastic.
 
Rafiki yangu aliamka asubuhi akakuta ameachiwa fuvu la gari. Halafu gari ya mkopo na 3rd party insurance alizimia. Saiv mtu akisema kaibiwa gari utasikia alivyokuwepo hayakuwepo haya mambo.
Mjerumani mzuri sema gharama sasa.

Kuna mmama wa kichaga anakwambia watu wanasema vits hazinywi mafuta na gari nyingine zinakunywa sana mafuta unataka zinywe mtori au supu[emoji1][emoji1]
Ndio maana nawashangaa maskini tunaokimbia kukata bima kubwa, gari la mkopo afu unakata 3rd party si unajitafutia presha mzee
 
We unajijua pesa yako ya matembele halafu unajifanya kutaka gari unique.

Wenye pesa huwa hawataki ushauri wa gari ya kununua.
Hivi Karibuni nilikuwa naona IST ndio ya vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST

Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana.

Naombeni maoni yenu kuwa ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati?
 
Nisamehe bure tatizo sisi watu tulio obsessed na matheory tuna shida sana..nili-refer ile theory ya relativity ya ndugu yetu Einstein "Special relativity applies to all physical phenomena" Bmw X6 ni gari ya kitajiri ile sio sawa na passo yangu..sasa matajri wengi sana wa mfano wako ni ngumu sana kuwakuta wanatumia simu ambazo tunatumia sisi masikini na changamoto ya hizi simu zetu za kimasikini(Tecno, infinix, Itel and etc)ni kukata mawasiliano, kujipiga zenyewe japokuwa sisi masikini tunapambananazo hvyo hvyo na zinajulikana kama cheap brand. Sasa nimeshangaa tajiri kama ww kutumia infinix (cheap brand) ndio dhana ya ulinganifu huo. Daah kumbe mimi ndio mshamba[emoji23][emoji23][emoji23] kumshangaa tajiri (classic woman)Cocastic.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaan we jamaa una vijembe vya kimyakimya
 
Mr wangu ana BMW X6, na jmos nakanyaga mafuta mwenyewe Dar - Arusha via Dom, vipi unataka lift?

Hizo gari zenu za kitoto hapan kwa kweli, yaan mdada ana haha kisa crown, IST? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu wawe serious bas khaaah.

Nataka gari ambayo nikikaa kulia, kweli na drive ndinga, huhuhuh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahahaaaaa hii ndio raha ya mtandao kila mtu tajiri kumbe uhalisia hapo ndio kwanza upo kwa dada yako tandale kwa mtogole unakimbizana na daladala unamsaidia kutembeza ubuyu na juice stand ya daladala baada ya ku reseat mtihan wa form 4 mara tatu na kukosa credit

Maskini ndio mara nyingi wana tambo na kejeli sana, huwa iko hiyo ili kufurahisha hisia zao.
 
[emoji23][emoji23]Hapana mi siumii na sina sababu ya kuumia mm mbona nimetulia tu na Passo yangu ya cc 990. Ww unaonekena ni mtoto wa kitajiri nilikuwa interested tu kujua model na mfy ya hiyo BMW ya mshua wako mana kama ww unaendesha BMW X6 hyo ya mshua si itakuwa hatari[emoji54]. Jst to inspire sisi watu wa baby walker kama Passo and the like ili tutafute pesa tifike hko kwenye mabeamer
Poleeeeh kwa kuteseka. Lol
 
Nisamehe bure tatizo sisi watu tulio obsessed na matheory tuna shida sana..nili-refer ile theory ya relativity ya ndugu yetu Einstein "Special relativity applies to all physical phenomena" Bmw X6 ni gari ya kitajiri ile sio sawa na passo yangu..sasa matajri wengi sana wa mfano wako ni ngumu sana kuwakuta wanatumia simu ambazo tunatumia sisi masikini na changamoto ya hizi simu zetu za kimasikini(Tecno, infinix, Itel and etc)ni kukata mawasiliano, kujipiga zenyewe japokuwa sisi masikini tunapambananazo hvyo hvyo na zinajulikana kama cheap brand. Sasa nimeshangaa tajiri kama ww kutumia infinix (cheap brand) ndio dhana ya ulinganifu huo. Daah kumbe mimi ndio mshamba[emoji23][emoji23][emoji23] kumshangaa tajiri (classic woman)Cocastic.
Non sense, kunywa maji mengi na u relaaaaax. Poleeeh
 
Back
Top Bottom