Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

K
Mr wangu ana BMW X6, na jmos nakanyaga mafuta mwenyewe Dar - Arusha via Dom, vipi unataka lift?

Hizo gari zenu za kitoto hapan kwa kweli, yaan mdada ana haha kisa crown, IST? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu wawe serious bas khaaah.

Nataka gari ambayo nikikaa kulia, kweli na drive ndinga, huhuhuh

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwa hicho kicheko cha huhuhu nadhani hata hilo beemer x6 unaliskia kwa jujuju
 
Nashukuru hatupo mbali mbali sana mie kwetu wapo watatu mmoja ana Jeep Grand Cherokee SRT, mwengine Range rover Velar na mkubwa kabisa ana G wagon ya 2018 ile! Mie nimeamua nijishikize na Jaguar F-Pace mambo yangu hayajakaa vizuri
Sisi wenye porsche macan tunacomment wapi na vi crossover vyetu
 
Anyway Nina Suzuki escudo old model grand Vitara. Root za bush zote nakanyaga tu. ila town nakuaga mpoleeeee. Tukiingia rough road nawacheka tu.
 
Mkuu maisha ya mtandaoni kila mtu tajiri mtu anakwambia anamiliki BMW X6 na blablaa kibao ukija kwenye uhalisia ata hizo ist na passo anaishia kuziona road tu usafiri wake mkubwa daladala akibadili anapanda bodaboda[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa mtu anajitapa ana Bmw X6 gari ya m60 hukoo alaf anatumia sim ya kimasikini kama yangu infinix ndege ikipita angani network inakata[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwani cm na gari zinahusiana nini? Wapo wanaotumia Tecno na wana drive ndinga za maana, au unataka nikutajie? Mambo mengine uwage kimya unajidhalilisha buree, huo ni ushamba.
 
...ungekua we huyo jamaa ungempa mku.nd..ili Tu uendeshe ndinga Kali...afu we waonekana washoboka Sana... watoto namna yako mnafiri.ka Sana mjini ...hii mambo ya kushoboka wanayo maskini....maskini WA nchi hizi za kiafrika...wenzako wadosi hawashobokei ndinga kabisa..maana wanazaliwa wanazikuta....hata nyumba...Mimi wanangu nimejitahidi wasikue namna hii...Kwa kuwapa exposure nje ya nchi nakosafiri mara Kwa mara..shida mama Yao (mke wangu)..nae mshobokaji...lakini shida ni Ile Ile..anakotoka...umaskini....

Mimi Kama kungekua na good public transport tz nisingenunua ndinga...ama ningepaki Tu home..lakini ndio hivyo...gari yangu ya kawaida sana BMW X1....Nimekuja nayo toka Germany.....wala sishoboki ..wala wanangu....mama Yao.ndie anaeshobokea..nimemwagizia X5 BMW....
Sishoboki kwa vitu km hivyo mie, halafu kanuni ya maisha yangu ni kujitafutia changu halali na sitegemei cha mtu, upo wee mtu?
Km wazazi wangu gari wanazo, japo sio range rover, nimetoka kwenye familia yenye uwezo na inajiweza haswaah, ila nilikua naisifia hiyo ndinga, kwani ni dhambi au vibaya lol.

Watu wengine stress zenu za nyumbani kwwnu mnaleta huku jf khaaah, poleeeh wee kaa kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom