cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Haya relaaaax sasa.Ww unapush X6 mm napush Passo ntakuwaziaje shida[emoji86]..Madam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya relaaaax sasa.Ww unapush X6 mm napush Passo ntakuwaziaje shida[emoji86]..Madam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman khaaah huu uzi watu wapo na mie mweeh, sijawahi ku reseat mtihani au kurudia darasa, wala kufeli ktk level yeyote ya Elimu,Hahahaaaaa hii ndio raha ya mtandao kila mtu tajiri kumbe uhalisia hapo ndio kwanza upo kwa dada yako tandale kwa mtogole unakimbizana na daladala unamsaidia kutembeza ubuyu na juice stand ya daladala baada ya ku reseat mtihan wa form 4 mara tatu na kukosa credit
Maskini ndio mara nyingi wana tambo na kejeli sana, huwa iko hiyo ili kufurahisha hisia zao.
Ukipata safari ya mkoa nambie nipate ata lift ya kutalii tu nikiwemo kwenye X6 🤭Haya relaaaax sasa.
Boss, for good na ku maintain status yako ya ki beamer beamer X6, tafuta ata Samsung note8 hizo cheap brand Tecno na Infinix tuachie sisi watu wa baby walker😂😂Non sense, kunywa maji mengi na u relaaaaax. Poleeeh
Wewe dogo gari hainunuliwi kwa kuangalia wenzako wananunua ipi;Hivi Karibuni nilikuwa naona IST ndio ya vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST
Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana.
Naombeni maoni yenu kuwa ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati?
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]unakuwa korofi sanaSema usimuache maana akikutosa utapanda Passo
Gari ni gari tu mkuu...daaaaah huyu hana stress kabisa ya wese kama ni safari za mjini mjini...
Aisee.[emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]Hapo kwa range rover mie huwa akili inahama, kuna shost angu m1 danga lake alikua na Range Rover kali kinyama kudadadeki, mtoto anaenda nalo chuo, weekend tunakua nalo misele, afu mafuta nakanyaga mie,
Sijui Ali fail wapi eti akatoswa, ***** ningekua mie yule sponsor wallah Jah angenisamehe tyuuh, ningefanya vyovyote nimdhibiti awe chini yangu nahakikisha hafurukuti, yaan mtu ana mpunga, ndinga kali unaanzaje kutoswa daaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], nikikumbuka ile ndinga hapan yaan,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
...dunia in vihoja hii..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nunueni magari mukufe
Boss, for good na ku maintain status yako ya ki beamer beamer X6, tafuta ata Samsung note8 hizo cheap brand Tecno na Infinix tuachie sisi watu wa baby walker😂😂
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jaman khaaah huu uzi watu wapo na mie mweeh, sijawahi ku reseat mtihani au kurudia darasa, wala kufeli ktk level yeyote ya Elimu,
Na hakna dada yangu anayefanya hiyo biashara, labda km una jingine, poleeeeh kwa kuteseka lol.
Kuzaliwa maskini ni matokeo tu ila kuwa maskini online ni uzembe 😅😅😅 na hio ndio maana yakeView attachment 1802839huyu mdada kweli anamiliki x6 😅
Kweli acha jamii forums iitwe JF hakuna masikini huku kila mtu ana gari kali 😅
[emoji1][emoji1][emoji1] nimecheka kichizi aiseee.View attachment 1802839huyu mdada kweli anamiliki x6 [emoji28]
Kweli acha jamii forums iitwe JF hakuna masikini huku kila mtu ana gari kali [emoji28]
Gari tamu sana hiiHamna gari mle. Achukue Suzuki Grand Escudo
Kuwa masikini JF ni uzembe sana 😅😅Kuzaliwa maskini ni matokeo tu ila kuwa maskini online ni uzembe 😅😅😅 na hio ndio maana yake
😂😂😂😂[emoji1][emoji1][emoji1] nimecheka kichizi aiseee.
Hii ndo gari sasa,tena succed
We nae, si tulishakubaliana kwenye kikao hakuna kufukua makaburi..!!!?[emoji28][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji28]View attachment 1802839huyu mdada kweli anamiliki x6 [emoji28]
Kweli acha jamii forums iitwe JF hakuna masikini huku kila mtu ana gari kali [emoji28]