[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi kama kijana wa kisasa naendesha hii Faru.Spacio,IST pamoja na takataka nyingine ni kwa ajili ya houseboys na housegirls.
View attachment 1797744
Gari yeyote nje ya ToyotaHivi Karibuni nilikua naona IST ndo y vijana ila naona zimejaa nyingi na pia kuna wimbi kubwa la wizi wa IST
Vijana wenye hela naona wanakimbilia Crown maana sahivi zimejaa sana
Naombeni maoni yenu kua ni gari gani sahivi inafaa kijana wa uchumi wa kati ?
IST imekuwa kama maji yani π€©π€©π€©Kwa maisha yalivyo sasa, kijana mwenye malengo ya maisha ya muda mrefu kuikwepa IST ni vigumu sana na pia hatari.
Hamna gari mle. Achukue Suzuki Grand EscudoKama pesa sio tatizo jitwishe Crown! Mle kuna burudani ya hali ya juu usione vijana wenzio tunakimbilia mle, demu wako akipewa lift siku moja tu mle anachagua Lodge ya kupelekwa the next day!π
ππKama pesa sio tatizo jitwishe Crown! Mle kuna burudani ya hali ya juu usione vijana wenzio tunakimbilia mle, demu wako akipewa lift siku moja tu mle anachagua Lodge ya kupelekwa the next day!π
Hamna gari mle. Achukue Suzuki Grand Escudo
Rumion ipo kwenye chat ila umbile lake kama Lunchbox dah inanipa ukakasiVijana wa kuigana igana siku hizi naona wanaenda mbio na toyota rumion
Ina body mbovu kinyama,sijui wanaipendea nini vijana πRumion ipo kwenye chat ila umbile lake kama Lunchbox dah inanipa ukakasi