Magari gani ya kununua nyakati hizi kwa kijana?

Uchumi wa kati kwa kijana ni kiasi gani
 
Kama pesa sio tatizo jitwishe Crown! Mle kuna burudani ya hali ya juu usione vijana wenzio tunakimbilia mle, demu wako akipewa lift siku moja tu mle anachagua Lodge ya kupelekwa the next day!๐Ÿ˜œ
Kwahiyo mzee nikimpa lift cocastic hachomoki namla bila chumvi au sio?๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ