Kutozingatia usalama hapa ni uzembe tu ushaona mvua bado unakimbia ndiyo madhara yake haya sasaAjali tanzanite bridge Dar es salaam
View attachment 3285900View attachment 3285901View attachment 3285902
View attachment 3285903
Kwa vyovyote vile, ni huyo mwenye gari ndogo nyeupe iliyokaa peke yake,Hapo kuna mtu kafanya uzembe.
Wanyoa vidukuBila shaka dereva kijana hafiki 30yrs pia ni wale wavaa kata k
Humo kilichowaponza ni mvua, lami ikiwa na maji traction inakuwa hafifu brake za ghafla matokeo yake ni gari kupoteza muelekeo na kubamizwa.Kwa Kifupi barabara ya Tanzanite Bridge kuanzia Aghakhan Hospital, Via Coco Beach mpaka kuitafuta Calambez ni hatari na Speed zao ni 120+, Magari ya Kifahari yenye 240+KmpH hiyo ndiyo njia yake ya kufungua na kutoa vumbi Turbo Charger zao. Tuwe na tahadhari na Barabara hiyo na barabara zote za Masaki. Pole kwa wahanga.
N shidaWanyoa viduku
Ulikua umekunywa niniMi mwenyewe juzi juzi nlimkosa muarabu mmoja, ila kosa lilikuwa langu.