Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Kwanini bei imesimama kama Toyota nakati ni TATA?

Sent using Jamii Forums mobile app
Toyota hilux iko juu kuliko Tata mkuu. labda hujasoma tangazo lote. tunauza magari mapya ya Tata.
Toyota hilux used tu bei yake inaenda sawa na Tata pick up mpya. Sasa Toyota pick up mpya inaenda karibu million 120 za kibongo. Tata iko chini mkuu. fanya research halafu uje utuambie kwenye huu uzi.
 
hivi hakunaga magari ya luxury ya tata,ambayo yanaweza kuwa kama mfano ist ,pajero yale mashangingi yale nakadhalika?
Luxury zipo mkuu ingia google tafuta Tata safari storm au Tata sumo gold utaziona mashangingi ya Tata.
sema kwa hapa bongo kampuni yetu hawawezi kuleta aina hiyo ya magari kwasababu soko lake ni gumu sana kuuza
 
Tata xenon. mpya. simu 0737-017866 au 0686168624
 
Attachments

  • IMG_20180820_103435.jpg
    IMG_20180820_103435.jpg
    87.1 KB · Views: 119
Luxury zipo mkuu ingia google tafuta Tata safari storm au Tata sumo gold utaziona mashangingi ya Tata.
sema kwa hapa bongo kampuni yetu hawawezi kuleta aina hiyo ya magari kwasababu soko lake ni gumu sana kuuza
ni tsh ngp hadi yafike tz?
 
Tata prima tractor horse mpya ipo stock ina hamu ya kutembea barabarani. Tajiri yeyote karibu tuwasiliane. 0737-017866. Mr jon
 
Attachments

  • IMG_20180820_103816.jpg
    IMG_20180820_103816.jpg
    123.4 KB · Views: 114
Tata prima zipo nyingi stock/ wasiliana nami, 0686-168624
 
Attachments

  • tata-prima-lx-4928s-srt.jpg
    tata-prima-lx-4928s-srt.jpg
    7.9 KB · Views: 95
Nasubiri Jibu Ya Hili jon
si kweli mkuu. Tata pick up zinakimbia bosi tena zinakimbia vizuri tu. Ni gari ya diesel ina engine ya CC 2200. ni VTT DICOR ina nguvu ya horsepower ya 148 HP. ni 4x4. ina cylinder 4 na Gear box ni manual 1 to 5 gears. sasa kwanini isikimbie???
 
Tata lpk 8 ton. karibu mabosi wangu. 0686-168624
 
Attachments

  • 19227b0691d84192bb22a395c51a8826.jpg
    19227b0691d84192bb22a395c51a8826.jpg
    120.5 KB · Views: 98
Tata kirikuu jamani kwa wanaohitaji tunauza na kukopesha kwa masharti nafuu. wasiliana nami 0737-017866
 
Attachments

  • IMG_20180820_103534.jpg
    IMG_20180820_103534.jpg
    103.3 KB · Views: 87
TATA prima tractor truck.
 
Attachments

  • b5baaa7fca7ae75243ddc84ad9d59dbc.png
    b5baaa7fca7ae75243ddc84ad9d59dbc.png
    624.3 KB · Views: 84
wateja ambao wako serious huwa wanapiga simu na kupanga apointment ya kuonana na mwenye tangazo. toka niweke hili tangazo nimeshapokea simu nyingi kutoka kwa wadau na wapo wengine wameshakuja ofisini na wameziona gari na tumeongea biashara na nina matumiani nitaendelea kupokea simu kwa wateja wapya kadri siku zinavyoendelea,
wapo wanaocoment kwa ajili ya kutaka kujua tu ubora wa magari ya Tata nawakaribisha kwenye jamvi nitawajibu tu.
 
Back
Top Bottom