Mbushuu
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 2,175
- 3,398
Ukiinunua utingo nipo mkuuok, bei naona zipo juu compared to Chinese brands, nitakufuata inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiinunua utingo nipo mkuuok, bei naona zipo juu compared to Chinese brands, nitakufuata inbox
Toyota hilux iko juu kuliko Tata mkuu. labda hujasoma tangazo lote. tunauza magari mapya ya Tata.
Luxury zipo mkuu ingia google tafuta Tata safari storm au Tata sumo gold utaziona mashangingi ya Tata.hivi hakunaga magari ya luxury ya tata,ambayo yanaweza kuwa kama mfano ist ,pajero yale mashangingi yale nakadhalika?
ni tsh ngp hadi yafike tz?Luxury zipo mkuu ingia google tafuta Tata safari storm au Tata sumo gold utaziona mashangingi ya Tata.
sema kwa hapa bongo kampuni yetu hawawezi kuleta aina hiyo ya magari kwasababu soko lake ni gumu sana kuuza
ni tsh ngp hadi yafike tz?
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624
Tata xenon. mpya. simu 0737-017866 au 0686168624
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624
wateja ambao wako serious huwa wanapiga simu na kupanga apointment ya kuonana na mwenye tangazo. toka niweke hili tangazo nimeshapokea simu nyingi kutoka kwa wadau na wapo wengine wameshakuja ofisini na wameziona gari na tumeongea biashara na nina matumiani nitaendelea kupokea simu kwa wateja wapya kadri siku zinavyoendelea,
wapo wanaocoment kwa ajili ya kutaka kujua tu ubora wa magari ya Tata nawakaribisha kwenye jamvi nitawajibu tu.