Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Dodoma makao makuu hamna mpango wa ofisi tuje tununue nakukopa?
Dodoma hatuna ofisi mkuu. ila ukitaka tukufuate huko uliko tunakufuata na tunaongea biashara mkuu. mkopo unapewa mkuu haijalishi upo mkoa gani, mikoa yote tunafika. ili mradi uwe umetimiza masharti ya mkopo. delivery ya magari tunafanya mkuu, kama una dereva wako unaweza kumtuma akaja kuchukua gari ofisini kwetu au sisi tunakusafirishia gari hadi dodoma. biashara tunaongea wala hakuna complications. Tata ni kampuni bora ndio kimbilio la wafanyabiashara wote. karibu 0737-017866.
 
SFC TANI 3. Mil 57. Tata canter tani 3. Gari mpya kutoka kiwandani, 0 km, zipo ndani ya stock.
fursa za malipo na mikopo nione inbox au piga simu 0737-017866 kwa ajili ya kuonana ofisini.
 

Attachments

  • image_preview.jpg
    8.5 KB · Views: 92
 
TATA XENON pick up zinapatikana.simu 0686168624
Tata xenon pick up bado zipo nyingi stock, kwa cash au mkopo. nipigie simu 0686-168624 au 0737-017866. Mr Jon. nipigie simu tupange biashara.
 
wakati mwingine ninakuwa sipo online kwasababu nakuwa na nashughulika na wateja wangu ofisini kwahiyo ntakuwa nachelewa kuwajibu online ila kama kuna mteja ambaye ni serious ameona tangazo langu, nipigie simu tu ili tuweze kuongea biashara hata ukitaka nikutumie picha za gari kwenye whatsapp nakutumia. nipo available kwa namba zifuatazo 0686-168624 au 0737-017866. Mr Jon. au Email- jopelo.john@mail.com
asante. mdau mwenye maswali kuhusu tata anaweza kureply hapa kwenye uzi huu special kwa ajili ya magari ya Tata. ntamjibu maswali yake hapa hapa.
 
 
 
Nikitaka kukopa mabuss inabidi niwe na advance ama napewa mkopo asilimia miamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
unalipa asilimia 30 kwanza ndio unapewa gari mkuu. kingine ni document tatu zinahitajika kutoka kwako kama ni mtu binafsi . naomba unipigie simu mkuu kama upo interested.namba zangu ni 0737-017866 au 0686-168624. ili tupange kuonana ofisini. au unipe namba zako nikupigie simu
 
Tata lpt canter kwa bei nafuu kabisa na kwa mkopo unapatikana, masharti ni nafuu. mteja serious karibu kwenye simu 0686168624
 

Attachments

  • 40779076_1912333635494348_4549273842899484672_n.jpg
    13.5 KB · Views: 77
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…