Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Car4Sale Magari mapya ya Kampuni ya Tata yanauzwa

Habari wadau, mimi ni afsa masoko kutoka kampuni ya Tata Motors ya Tanzania. Ninawatangazia magari yetu aina ya Tata.
Ni magari mazuri, imara yanadumu muda mrefu na ni mapya kabisa kutoka kiwandani hayajatumika ni zero km. warranty miaka 3.
Tunauza cash na tunatoa mikopo ya magari kwa wafanyabiashara wote Tanzania. Taasisi za serikali,sekta binafsi pamoja na
wafanyabiashara wa kutoka mikoa yote ya tanzania ninawakaribisha kwa mawasiliano yangu,

Bw Jon (Afsa Masoko Tata motors)
Simu
0737-017866 au 0686- 168624
Email- jopelo.john@mail.com

Bei za Magari Madogo
Tata kirikuu (Ace Ex2 ) tani moja- M 28.
Tata Kirikuu ( Mega Ace) Tani mbili-M 33
Tata Pick up Single Cabin - M 44.
Tata pick up Double cabin - M 52.

Bei za Magari ya Tata canter
Tata Canter SFC 407 Tani 3.5 - M 56
Tata Canter EX2 709 Tani 4 - M 66
Tata canter Ex2 713 Tani 4.5 - M 68
Tata canter Ex2 1012 tani 5 - M 94.
Tata canter Ex2 1518 tani 8 - M 117
Tata canter LPT 25 15 Tani 10 - M 127
Tata Canter EX2 LPT 2516 Tani 10 - M 142

Bei za Malori ya Tipper
Tata Lpk 813 Tani 8 cubi meter- 3.5 - M 80
Tata lpk 1615 tani 10 cubic meter- 8.5 - M 109.
Tata lpk 2516 tani 12 cubic meter 14- M 152.
Tata lpk Prima 2523 tani 15 cubic meter 16 - M 189.
Tata prima 2528 tani 15 cubic meter 18 - M 205.

Bei za malori ya kuvuta Trailer
Tata prima Novus 4928 6x4 - M 143,

Bei za malori yenye winch
Tata Lpk 713- M 131.
Tata Lpk 1518 - M 207.

Bdi za malori zeney mashine ya kuchanganya cement (concrete mixer)
Tata lpk 2518 Concrete mixer - M 187.

r)View attachment 842723View attachment 842724View attachment 842725View attachment 842726View attachment 842727View attachment 842728View attachment 842730View attachment 842731View attachment 842732View attachment 842733View attachment 842734View attachment 842735View attachment 842736View attachment 842737View attachment 842738View attachment 842739View attachment 842740View attachment 842741View attachment 842742View attachment 842743
peeak peak mnazo
 
tata prima tipa. mpya kutoka kiwandani. interested piga simu au whatsapp. - 0686-168624.
 
Attachments

  • Tata-Prima-2523.K.jpg
    Tata-Prima-2523.K.jpg
    105.4 KB · Views: 64
Huyu mhindi ndiye kanunua kiwanda cha magari kinachotengeneza Range rover cha Mwingereza miaka mitatu au minne iliyopita so usimchukulie poa

asante mkuu. watu hawajui,kuna kampuni za magari za ulaya zilifilisika na zimenunuliwa na makampuni ya wahindi. kwa mfano leyland ya uingereza iliuzwa kwa kampuni ya wahindi inaitwa ashok. sasahivi wanauunda magari ya ashok leyland. zipo barabarani, majeshi mbali mbali TZ wamenunua hayo magari.
Tata tuko vizuri sana kwenye masoko.
 
Kweli Tata aliinunua Jaguar Range Rover kwa 2.3 Bilion dollars. Hawa jamaa naskia wana hisa kwenye kampuni kibao za magari huko ulaya
 
Huyu mhindi ndiye kanunua kiwanda cha magari kinachotengeneza Range rover cha Mwingereza miaka mitatu au minne iliyopita so usimchukulie poa

asante mkuu. watu hawajui,kuna kampuni za magari za ulaya zilifilisika na zimenunuliwa na makampuni ya wahindi. kwa mfano leyland ya uingereza iliuzwa kwa kampuni ya wahindi inaitwa ashok. sasahivi wanauunda magari ya ashok leyland. zipo barabarani, majeshi mbali mbali TZ wamenunua hayo magari.
Tata tuko vizuri sana kwenye masoko.
 
Kweli Tata aliinunua Jaguar Land Rover kwa 2.3 Bilion dollars. Hawa jamaa naskia wana hisa kwenye kampuni kibao za magari huko ulaya
yep ni kweli kampuni ya Tata inamiliki kampuni ya magari ya jaguar na range rover.
 
tata ultra bus. mil 138 tzs. 0686-168624.
 
Attachments

  • 45390833_1991118540949190_8579370797812940800_n.jpg
    45390833_1991118540949190_8579370797812940800_n.jpg
    59.3 KB · Views: 62
Tata lpk 2518. tani 18. bei M TZS 155. Taratibu za mkopo zipo. piga simu 0686-168624
 
Attachments

  • images (1).jpg
    images (1).jpg
    9.7 KB · Views: 57
Bosi kama unatafuta magari ya mtumba pick up ngoja nikuchekie stock halafu nirudi kwako. ila kama unatafuta magari mapya kwa Tata pick up mbona bei yake ni chini zaid kuliko Toyota pick up ????? au sijakuelewa. hebu nipe namba yako ya simu nikuchekie pick up za tata mtumba
magari used yapo ? nahitaji Mega Ace used yenye hali nzuri au Ace Ex2 (four cylinders)
 
Back
Top Bottom