Magari ya Assad

Magari ya Assad

Exactly!

Ni wapi na lini alikuwa akiyaendesha hayo magari?

Na hata kama alikuwa anayaendesha mara moja moja, magari yote hayo ya nini?

Huyo jamaa na baba yake waliifanya Syria kama kampuni yao binafsi.
So Hillarious.....

Bora amepinduliwa mpumbavu huyu, Waasi wameenda kuchoma kaburi la Baba yake

Hata kama ni tamaa ya mali, this is too much

Mtu ananunua magari ambayo hata hayaendeshi YANINI???
 
Makasiriko ya nini sasa? Magari yake kwani asipokuwa nayo utakuwa nayo wewe?
Tafuta yako na wewe uendeshe, achana na roho za kwanini Assad ana magari na hayatumii, wewe huna.
Huna akili
 
Waarabu ndo wanaongoza kwa corruption za wazi kabisa bora hata Africa wanajificha, kuna mfalme wa Bahrain sijui , Jamaa Ana super high end cars kama buku aisee, sijui nilikua naangalia collection yake nikiwa nawaza what a waste.... maintenance tu ya hayo magari ambayo mengi hayatumiki ni kiasi gani..


Sipati picha kina musk,Zuckerberg and the likes wangekua wazee wa ku flex sijui kama mjini pangetosha
Unafananisha Bahrain na Africa?
Upo serious kweli wewe?😃😅😆
 
Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad!

Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari.

Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni.

Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa.

Ni lini alikuwa anaendesha hayo magari kwenye mitaa ya Damascus?




View: https://youtu.be/pUrnEbnoOK8?si=tGc8kyc1Z7pLaq-l


Take care na hawa wazee wa propaganda.
 
Hahaha naamini hata sisi siku tukiipiga chini CCM tutashangazwa na Mengi. Unaweza kuta tuna magari ya kuwasha lakini bunduki za maaskari wetu hazina risasi kama tunavyoaminishwa kila siku. Ila naamini iko siku nasi tutashangaana humu Tanganyika, kwanini tulikubali kutawaliwa na CCM kwa muda woote huo.
 
"Ranked as one of the world's wealthiest nations due to its vast oil and gas reserves, Brunei's population of 455,858 sees a contrast with a poverty rate of 5%, positioning it 11th out of 78 countries."






Brunei Darussalaam ni katika nchi zenye poverty rate ndogo sana.
Okay labda ni takwimu za miaka ya hivi karibuni ila huyo Mfalme nilianza kusikia habari zake muda sana, kipindi ambacho wananchi wake wengi bado ni masikini, maana alianza kuishi maisha hayo ya kifahari tangu miaka ya 90
 
Huko CCM kuna watu wana majumba Dubai hujalalamika kwamba hawalali mle na wametuibia wátanganyika, unatoa povu kwa Assad!
Kuna watu wana chuki mpk unaogopa kusoma hv kwan ss weusi majumbam kwetu tunaweza kua na magari 10 hyo hyo mikweche ndo uulize za nn
 
Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad!

Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari.

Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda mwingi alikuwa mafichoni.

Popote alipokuwa anaenda alikuwa alikuwa anaendeshwa.

Ni lini alikuwa anaendesha hayo magari kwenye mitaa ya Damascus?




View: https://youtu.be/pUrnEbnoOK8?si=tGc8kyc1Z7pLaq-l

Labda alikuwa anayafurahia kuyatazama.
 
Ndipo unapoanza kujiuliza..kama navyojouliza..Russia as a big bro...naye pia hajali chochote,huyo takataka alitakiwa awe jela!
Wanajaliana na kupendana kimaslahi tu,sio kwa ajili ya watu!
Ndugu au hujui kuwa "kupendana kimaslah" ndio kauli mbiy ya dunia ya sasa hivi

Wote hao mabwana wakubw akuanzia US, western, Russia. Hadi Asia china na India kauli mbiu ni ile tunayoita "neccessary Evil" we hata ukitaka raia wako walale chini uwe unapita kwenye migongo yao tujifanya kama hatuon as long you serve our purpose .. achana ba huko mashariki ya mbali ni mnali sana kama kunavyoitwa au huoni kinachofanyika Congo kati ya Rwanda na Congo, vipi kusuhu Sudan hapo mafahali wawili wananyuka a huku wana kamba shingoni moja imeshikwa na Russia nyingine na Us, umesikia habari za bchi za West Africa huko na the so called. French cleanse.. wakat bi swala kama la dada wa kazi kutoka kwa Boss wa zamani ( france) kuhamia kwa Boss mpya (Russia)

So kwa dunia ya sasa hivi Africa na nchi zingine za dubia ya pili na ya 3 ni swala la kuchagua umtumikie nani na sio ukate kamba uwe huru.. bado hatuna viongoz wenye nia ya dhati na hilo..

Watu pekee kwenye dunia hii waliokuwa na nia ya dhati ya kukata kamba zote za unyonyaji na kuamua kujitegemea ili kutengeneza laverage wakathubutu na wakaweza walikuwa China

60 yrs ago .. china walikuwa waganga njaa wenzetu wanasikilizia matakwa ya western sasa hivi na wao wanakuja kwetu na kamba mkononi tutege shingo zetu watuvalishe shingoni
 
Back
Top Bottom