Magari ya gharama kubwa yamekuwa mengi mtaani, nini kipo nyuma ya pazia?

Uongo uongo mimi ninazote hizo na namiliki zaidi ya hiyo.Miking money is another curriculum which does not require a As or degrees but a plan.Watu wasome msidanganyike the same probabilities ya wasiosoma au wenye F wanafanikiwa ,the same with As wanafanikiwa.Plan your life usiangalie mwingine.Sema wenye As Hawa shout kama wenye F kwa sababu ya inferiority complex na kujitutumua kuwa wameweza na kujitutumua.Guys whatever your doing fanya kwa bidii
Vijana wa sasa hivi rahisi sana kuwadanganya. watu wenye A's wengi wana kampuni zao na wanaendesha hayo magari. Nina radiki zangu madaktari wana LR Discovery 4.Range rover sporty.VW Toaureg 2, VW Amarok.
 
Mimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
Kuna hii tabia ya kupiga tintedi hadi mbele aiseee inatukosesha hiyo fursa. Unakuta mtu kasiriba matintedi gari nzima hadi side mirrors zina tinted.
 
Pesa ilizikwa, nyingine zilipata trip kwenda nje ya nchi wkt huo kila mtu alikuwa na wasiwasi.

Leo peaa zimeamua kurudi baada ya kuona huyu hana shida na sisi ila ana shida na nani amfunge kamba ya urefu wake, hivyo zimerudi.

Ukipata channeli ukapewa codes ni fasta tu wazo lako la kununua kiPaso au kiIST linakufa haraka sasa unaamia kwenye vinu vya CC1000 kupanda juu.
Cc 1000 bado ni passo na vits hiyo haujafika hata kwenye IST mzee.
 
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe ni mkazi wa Dar es Salaam utakubaliana nami, huko barabarani kwa sasa magari ya gharama ni mengi mno.

Magari kama Land Cruiser 300 series (GX-R, ZX), Range Rover Sport, Ford Endeavour, Cadillac Escalade na mengine mengi tu. Haya magari kwa sasa yamekuwa mengi sana hapa Tanzania, ni nini siri ya watu kununua haya magari kwa wingi?

Au ndio ile kauli ya kula kutokana na urefu wa kamba yako? Ila wakuu kuna watu wana hela sio poa, kuna hiyo Ford Endeavour nyeusi namba E imenipita hapa mpaka nikaanza kujiuliza maswali kichwani.

Kipi kipo nyuma ya pazia ni madili gani hayo wenzetu wanapiga mpaka wanamiliki vyuma kama hivyo?
Km Dj tu ana uwezo kununua Range rover,na BMW wakati we huna hata baskeli,
Rudi kalime kijijini au mpaka wanunue pumzi yako.
 
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe ni mkazi wa Dar es Salaam utakubaliana nami, huko barabarani kwa sasa magari ya gharama ni mengi mno.

Magari kama Land Cruiser 300 series (GX-R, ZX), Range Rover Sport, Ford Endeavour, Cadillac Escalade na mengine mengi tu. Haya magari kwa sasa yamekuwa mengi sana hapa Tanzania, ni nini siri ya watu kununua haya magari kwa wingi?

Au ndio ile kauli ya kula kutokana na urefu wa kamba yako? Ila wakuu kuna watu wana hela sio poa, kuna hiyo Ford Endeavour nyeusi namba E imenipita hapa mpaka nikaanza kujiuliza maswali kichwani.

Kipi kipo nyuma ya pazia ni madili gani hayo wenzetu wanapiga mpaka wanamiliki vyuma kama hivyo?
Wanajua namna ya kuutumia mnyororo wa thamani
 
Usiseme wananchi wanalalamika sema mimi nalalamika hali ngumu kwangu, hatuwezi fanana mkuu muhimu jipinde hakuna selikari itakayokuletea gari ya kifahari nyumba kwao.
 
Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe ni mkazi wa Dar es Salaam utakubaliana nami, huko barabarani kwa sasa magari ya gharama ni mengi mno.

Magari kama Land Cruiser 300 series (GX-R, ZX), Range Rover Sport, Ford Endeavour, Cadillac Escalade na mengine mengi tu. Haya magari kwa sasa yamekuwa mengi sana hapa Tanzania, ni nini siri ya watu kununua haya magari kwa wingi?

Au ndio ile kauli ya kula kutokana na urefu wa kamba yako? Ila wakuu kuna watu wana hela sio poa, kuna hiyo Ford Endeavour nyeusi namba E imenipita hapa mpaka nikaanza kujiuliza maswali kichwani.

Kipi kipo nyuma ya pazia ni madili gani hayo wenzetu wanapiga mpaka wanamiliki vyuma kama hivyo?
... kuna lijamaa lipo sehemu linawaangalia tuu! ... siku likiingia Ikulu litapoteza miaka yake yote kumi kuwalimisha Hawa jamaa Kwa meno na kurudisha nchi kwenye uchumi wa baada ya Vita vya Kagera!
 
Back
Top Bottom