Magari ya gharama kubwa yamekuwa mengi mtaani, nini kipo nyuma ya pazia?

Magari ya gharama kubwa yamekuwa mengi mtaani, nini kipo nyuma ya pazia?

Aisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe ni mkazi wa Dar es Salaam utakubaliana nami, huko barabarani kwa sasa magari ya gharama ni mengi mno.

Magari kama Land Cruiser 300 series (GX-R, ZX), Range Rover Sport, Ford Endeavour, Cadillac Escalade na mengine mengi tu. Haya magari kwa sasa yamekuwa mengi sana hapa Tanzania, ni nini siri ya watu kununua haya magari kwa wingi?

Au ndio ile kauli ya kula kutokana na urefu wa kamba yako? Ila wakuu kuna watu wana hela sio poa, kuna hiyo Ford Endeavour nyeusi namba E imenipita hapa mpaka nikaanza kujiuliza maswali kichwani.

Kipi kipo nyuma ya pazia ni madili gani hayo wenzetu wanapiga mpaka wanamiliki vyuma kama hivyo?
Tumekumbafia mfumo wa kulalamika na kulaumu

Matokeo yake wajanja wa wanakimbia na na game plans

Wasongo wamebaki kwenye paperwork, majority ya vijana wako betting… na wengine ni mabingwa wa kutumia buku kwa siku kushinda insta tukilipia apps za mange na ku like contents zinazowapa wajanja pesa

Check magari waliyonayo wasanii, wauza simu, mdalali na importers wa vitu toka China

Kama taifa ni lazima turudi kwenye basics badala ya kulalama
 
Pesa ilizikwa, nyingine zilipata trip kwenda nje ya nchi wkt huo kila mtu alikuwa na wasiwasi.

Leo peaa zimeamua kurudi baada ya kuona huyu hana shida na sisi ila ana shida na nani amfunge kamba ya urefu wake, hivyo zimerudi.

Ukipata channeli ukapewa codes ni fasta tu wazo lako la kununua kiPaso au kiIST linakufa haraka sasa unaamia kwenye vinu vya CC1000 kupanda juu.
IST Zina cc zaidi ya 1000 na hata passo ziko model Zina cc zaidi ya 1000.
 
KAMA DJ ALLY B- ASUMANIIIIIIIIIIIIIIIIII ana mandinga yote haya na ww hauna unabaki kujiuliza uliza tuu ns kushangaa anatoa wapi mitonyo unafeli sana. umesha chelewa HATA CHALAMILA ALISHAKWAMBIA. Huu utawala wa mama kama hauna hela usilaumu. badili mbinu zako za utafutaji. badili formation. Nenda ka manipulate mifumo somewhere aroo
1718881310392.png
 
Kwa hiyo mkuu wewe kwenye huu utawala una maokoto mengi tu?
KAMA DJ ALLY B- ASUMANIIIIIIIIIIIIIIIIII ana mandinga yote haya na ww hauna unabaki kujiuliza uliza tuu ns kushangaa anatoa wapi mitonyo unafeli sana. umesha chelewa HATA CHALAMILA ALISHAKWAMBIA. Huu utawala wa mama kama hauna hela usilaumu. badili mbinu zako za utafutaji. badili formation. Nenda ka manipulate mifumo somewhere aroo
View attachment 3021414
 
Mimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mwanangu fulani,naona sahv porch cayan ishaanza kukushinda
Nlikuambiaaaa 😄

Ova
 
Attachments

  • 20240620_130513.jpg
    20240620_130513.jpg
    1.7 MB · Views: 9
kuna mikopo ya 100M pahala tatizo husalimii 😀
na ukianza kudaiwa pia ucpige makelele
:runescapeDance:
 
Mimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
Jiangalie sana utaja left kiboya sana
 
Mimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
ila wee jamaa, sio kunivunja mbavu huku
 
Sina haja mkuu ,wala sikukulia kwenye mazingira ya kujionyesha mimi nimeanza kuendesha gari miaka hiyo nikiwa chuo na nilinunua kwenye minada wakiwa wanauza magari ya ma TX kama ulikuwa umezaliwa.So issue ya kujionyesha ni ya kimaskini sana .Watu sasa wame move kwenye stage ya kuonyesha investment, assets na sio liabilities gari au nyumba unayomiliki hata liwe kali kiasi gani kama halikuingizii hata sumuni hiyo ni liability. Think 🤔 na sio kupanga BMWs kwenye nyumba nk.Hebu tuje na thread ya kupeana maujuzi ya Investment
Umekuwa matured
 
Back
Top Bottom