mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hahah nlikuwa kwenye lift kipassoMkuu muda unapiga picha hii nilikuona, nilikuwa ndani ya hiyo gari.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah nlikuwa kwenye lift kipassoMkuu muda unapiga picha hii nilikuona, nilikuwa ndani ya hiyo gari.
HahahahaMbona simple tu, tafuta connection mkuu. View attachment 3010239
Hizi ni balaa, zimejaa sio mchezo nyingi ajabu. Na ni mpyaaa acha kabisaWabongo naona wananunua sana hizo land cruiser lc ---
Ova
😂 😂 kuna kitu kinakunyemelea mkuu shtukaMimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
Sina haja mkuu ,wala sikukulia kwenye mazingira ya kujionyesha mimi nimeanza kuendesha gari miaka hiyo nikiwa chuo na nilinunua kwenye minada wakiwa wanauza magari ya ma TX kama ulikuwa umezaliwa.So issue ya kujionyesha ni ya kimaskini sana .Watu sasa wame move kwenye stage ya kuonyesha investment, assets na sio liabilities gari au nyumba unayomiliki hata liwe kali kiasi gani kama halikuingizii hata sumuni hiyo ni liability. Think 🤔 na sio kupanga BMWs kwenye nyumba nk.Hebu tuje na thread ya kupeana maujuzi ya InvestmentPiga picha hizo ndinga zako tuzione hapo nyumbani kwako! Maana shida ya JF kila mtu tajiri kuamini kwenye keyboard inakua ngumu.
Hongera sanaSina haja mkuu ,wala sikukulia kwenye mazingira ya kujionyesha mimi nimeanza kuendesha gari miaka hiyo nikiwa chuo na nilinunua kwenye minada wakiwa wanauza magari ya ma TX kama ulikuwa umezaliwa.So issue ya kujionyesha ni ya kimaskini sana .Watu sasa wame move kwenye stage ya kuonyesha investment, assets na sio liabilities gari au nyumba unayomiliki hata liwe kali kiasi gani kama halikuingizii hata sumuni hiyo ni liability. Think 🤔 na sio kupanga BMWs kwenye nyumba nk.Hebu tuje na thread ya kupeana maujuzi ya Investment
So ist n cc ngap?Pesa ilizikwa, nyingine zilipata trip kwenda nje ya nchi wkt huo kila mtu alikuwa na wasiwasi.
Leo peaa zimeamua kurudi baada ya kuona huyu hana shida na sisi ila ana shida na nani amfunge kamba ya urefu wake, hivyo zimerudi.
Ukipata channeli ukapewa codes ni fasta tu wazo lako la kununua kiPaso au kiIST linakufa haraka sasa unaamia kwenye vinu vya CC1000 kupanda juu.
So ukishamuona anayeshuka itakusaidia nn?Kuna hii tabia ya kupiga tintedi hadi mbele aiseee inatukosesha hiyo fursa. Unakuta mtu kasiriba matintedi gari nzima hadi side mirrors zina tinted.
Hukiwa na hizo feeling, kupakuliwa n swala la muda tuu, Trust me.Dah, yaani kuna muda unapishana na gari kuna hisia kali zinakwambia kuna mtu anayekufahamu anakuona. Yaani ilr unatembea kwenye barabara zetu hizi za uchochoroni halafu unakutana na gari inakujia kutokea kwa nyuma inakumulika mitaa full halafu ni usiku na gari inatembea taratibu, sasa unakuwa unajiuliza nani huyu yupo katika gari ananitazama kubabake kila ukijitahidi kupiga jicho unaona vivuli tu.
Sasa unajiuliza vipi kama ni X wangu au demu wangu ananicheat na mtu ndio wananichora muda huu tena wananicheka.
Vipi ninavyotembea huko nyuma wananionaje, je sionikane kama ng'ombe akiwa anatembea kwa nyuma au kama vile mbwa aliyeshushuliwa au kubalaswa vile anatembea kwa kumwaga uno? [emoji848]
Ww ndo ulieanza kusema unama liability kibao, umeambiwa uonyeshe umeanza kuruka ruka,Sina haja mkuu ,wala sikukulia kwenye mazingira ya kujionyesha mimi nimeanza kuendesha gari miaka hiyo nikiwa chuo na nilinunua kwenye minada wakiwa wanauza magari ya ma TX kama ulikuwa umezaliwa.So issue ya kujionyesha ni ya kimaskini sana .Watu sasa wame move kwenye stage ya kuonyesha investment, assets na sio liabilities gari au nyumba unayomiliki hata liwe kali kiasi gani kama halikuingizii hata sumuni hiyo ni liability. Think 🤔 na sio kupanga BMWs kwenye nyumba nk.Hebu tuje na thread ya kupeana maujuzi ya Investment
Pole, umekuja kwa panic kisa umeona kibabe woka chako kimedharaulika.So ist n cc ngap?
Hv hamuwez taja gari mpaka mtaje ist?
Mbona vijana wa kileo mnawivu sn, vits sio gari? Kila mtu anunue apendacho, omba Mungu sn umiliki hata fonex 🚴🏽♂️
Maybe u will back to your sense maana poverty imetafuna hadi medulla 🧠
Pointless, mm nakibaby walker ww unanini?Pole, umekuja kwa panic kisa umeona kibabe woka chako kimedharaulika.
Ukikua utaelewa kaa uendelee kujifunza kusoma na kuelewa, hata chizi akiwa katulia anaonekana ana akili!.
Hebu acha utoto kijana, hii siyo Facebook.Pointless, mm nakibaby walker ww unanini?
Bado unawapiga vikumbo mama zako kwny mwendokasi?
Upo desparate hadi sio poa, pambana ndugu upate hayo mabugat ya kwny ndoto, ss tunaendelea kumpa lift mkeo
Hebu acha utoto kijana, hii siyo Facebook.
Seeing bado upo stone age kabisa kwa unavyooneka 😔!.
[emoji1787][emoji1787]Tz mipango ikinyooka umeula. Kutokuwepo kwa JPM mipango inakuwa rahisi.