Magari ya gharama kubwa yamekuwa mengi mtaani, nini kipo nyuma ya pazia?

Vijana wa sasa hivi rahisi sana kuwadanganya. watu wenye A's wengi wana kampuni zao na wanaendesha hayo magari. Nina radiki zangu madaktari wana LR Discovery 4.Range rover sporty.VW Toaureg 2, VW Amarok.
 
Mimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
Kuna hii tabia ya kupiga tintedi hadi mbele aiseee inatukosesha hiyo fursa. Unakuta mtu kasiriba matintedi gari nzima hadi side mirrors zina tinted.
 
Cc 1000 bado ni passo na vits hiyo haujafika hata kwenye IST mzee.
 
Km Dj tu ana uwezo kununua Range rover,na BMW wakati we huna hata baskeli,
Rudi kalime kijijini au mpaka wanunue pumzi yako.
 
Wanajua namna ya kuutumia mnyororo wa thamani
 
Usiseme wananchi wanalalamika sema mimi nalalamika hali ngumu kwangu, hatuwezi fanana mkuu muhimu jipinde hakuna selikari itakayokuletea gari ya kifahari nyumba kwao.
 
... kuna lijamaa lipo sehemu linawaangalia tuu! ... siku likiingia Ikulu litapoteza miaka yake yote kumi kuwalimisha Hawa jamaa Kwa meno na kurudisha nchi kwenye uchumi wa baada ya Vita vya Kagera!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…