Magari ya gharama kubwa yamekuwa mengi mtaani, nini kipo nyuma ya pazia?

Mimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zemanda

Si kweli watu wanaweka tinted hadi kwenye side mirror. Ila tinted za mbele huwa ni light na si ultra.
Dah, yaani kuna muda unapishana na gari kuna hisia kali zinakwambia kuna mtu anayekufahamu anakuona. Yaani ilr unatembea kwenye barabara zetu hizi za uchochoroni halafu unakutana na gari inakujia kutokea kwa nyuma inakumulika mitaa full halafu ni usiku na gari inatembea taratibu, sasa unakuwa unajiuliza nani huyu yupo katika gari ananitazama kubabake kila ukijitahidi kupiga jicho unaona vivuli tu.

Sasa unajiuliza vipi kama ni X wangu au demu wangu ananicheat na mtu ndio wananichora muda huu tena wananicheka.

Vipi ninavyotembea huko nyuma wananionaje, je sionikane kama ng'ombe akiwa anatembea kwa nyuma au kama vile mbwa aliyeshushuliwa au kubalaswa vile anatembea kwa kumwaga uno? [emoji848]
 
Piga picha hizo ndinga zako tuzione hapo nyumbani kwako! Maana shida ya JF kila mtu tajiri kuamini kwenye keyboard inakua ngumu.
 
Jitafakari sana inawezekana umekubali kuwa na Maisha ya kipato cha wasi wasi.
Kwa bahati mbaya wenye magari na nyumba ndio naona wana wasiwasi, especially vijana 45 year kurudi chini. Muda mwingine ukipanda gari la mshkaji hadi unaweza kumuonea huruma maana anawaza mara mafuta, sijui service etc. Gari inaendeshwa mwisho wa mwezi tu, presha tupu. Kwa wenye nyumba issue kubwa wanawaza mikopo sasa mpaka nashindwa kuelewa hizi pressure zote za nini ???!! BTW naweza kununua gari nikitaka ila may be sio hobby yangu
 
Njia ni 2 tu.
1 - NGADA
2- UFISADI
Unakuta mtu anapewa mchongo wa tenda kwenye wizara au idara bilioni 10 wakati gharama sahihi za kazi ni bilioni 3. 7 zilizobaki wanagawana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…