Ww ndo ulieanza kusema unama liability kibao, umeambiwa uonyeshe umeanza kuruka ruka,
π€£π€£π€£ nyie tujifunze kukubaliana na hali z
Kwani Kuna mashindano eee basi count me out my dear your not my typeWw ndo ulieanza kusema unama liability kibao, umeambiwa uonyeshe umeanza kuruka ruka,
π€£π€£π€£ nyie tujifunze kukubaliana na hali zetu
Tumekumbafia mfumo wa kulalamika na kulaumuAisee! Wakati baadhi ya watanzania kila uchwao wakilalamika ugumu wa maisha mtaani wakati huo huo kuna baadhi ya watanzania kila uchwao wananunua magari ya kifahari na gharama kubwa mno. Kama wewe ni mkazi wa Dar es Salaam utakubaliana nami, huko barabarani kwa sasa magari ya gharama ni mengi mno.
Magari kama Land Cruiser 300 series (GX-R, ZX), Range Rover Sport, Ford Endeavour, Cadillac Escalade na mengine mengi tu. Haya magari kwa sasa yamekuwa mengi sana hapa Tanzania, ni nini siri ya watu kununua haya magari kwa wingi?
Au ndio ile kauli ya kula kutokana na urefu wa kamba yako? Ila wakuu kuna watu wana hela sio poa, kuna hiyo Ford Endeavour nyeusi namba E imenipita hapa mpaka nikaanza kujiuliza maswali kichwani.
Kipi kipo nyuma ya pazia ni madili gani hayo wenzetu wanapiga mpaka wanamiliki vyuma kama hivyo?
IST Zina cc zaidi ya 1000 na hata passo ziko model Zina cc zaidi ya 1000.Pesa ilizikwa, nyingine zilipata trip kwenda nje ya nchi wkt huo kila mtu alikuwa na wasiwasi.
Leo peaa zimeamua kurudi baada ya kuona huyu hana shida na sisi ila ana shida na nani amfunge kamba ya urefu wake, hivyo zimerudi.
Ukipata channeli ukapewa codes ni fasta tu wazo lako la kununua kiPaso au kiIST linakufa haraka sasa unaamia kwenye vinu vya CC1000 kupanda juu.
KAMA DJ ALLY B- ASUMANIIIIIIIIIIIIIIIIII ana mandinga yote haya na ww hauna unabaki kujiuliza uliza tuu ns kushangaa anatoa wapi mitonyo unafeli sana. umesha chelewa HATA CHALAMILA ALISHAKWAMBIA. Huu utawala wa mama kama hauna hela usilaumu. badili mbinu zako za utafutaji. badili formation. Nenda ka manipulate mifumo somewhere aroo
View attachment 3021414
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
Jiangalie sana utaja left kiboya sanaMimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
ila wee jamaa, sio kunivunja mbavu hukuMimi kuna gari huwa nakutana nazo natamani tu nimuone anaye iendesha japo nimsalimie!
Umasikini ni mbaya sana, yaani gari pekee ninayopanda ni daladala na magari ya matofali kwenda saiti.
Jichunguze labda unawekeza kwenye viwandaHivi ni kwa nini huwa si shtushwi na mambo ya Magari wala Nyumba????!!! nashindwa kuelewa kabisa
Umekuwa maturedSina haja mkuu ,wala sikukulia kwenye mazingira ya kujionyesha mimi nimeanza kuendesha gari miaka hiyo nikiwa chuo na nilinunua kwenye minada wakiwa wanauza magari ya ma TX kama ulikuwa umezaliwa.So issue ya kujionyesha ni ya kimaskini sana .Watu sasa wame move kwenye stage ya kuonyesha investment, assets na sio liabilities gari au nyumba unayomiliki hata liwe kali kiasi gani kama halikuingizii hata sumuni hiyo ni liability. Think π€ na sio kupanga BMWs kwenye nyumba nk.Hebu tuje na thread ya kupeana maujuzi ya Investment