Magari ya kifahari ya Wasanii wa Bongo

Kipato cha mziki wa kibongo unasikitisha sana! Imagine msanii kama marioo kwa hit songs zote hizi tena back to back lakini kipato bado ni tatizo! Ingekuwa ni mbele kwa hizo hit songs nadhani jamaa angeingiza kipato kikubwa sana kwa hii miaka kama miwili iliyopita maan ndo msanii aliyetoa ngoma kali kibongo bongo!
 
Una FS zake?
 
Mario kapiga picha wakati ana shoot wimbo wake flani..
Namkubali lakini nafikiri mwisho wa uwezo wake Ni tako la nyani crown..
Na huyu najiita mbuzi mwisho wa uwezo wake Ni passo
Ha ha hatari et Passo...
 
Kwamba Young Kunya anamiliki Range πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…